Ni wife material kweli kweli lakini kuna tatizo hili hapa

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,853
4,548
Habari jf members

Nisiwachoshe,msinichoshe twende kwenye mada kuu
Kuna mwanamke anaishi na rafiki yangu wa damu kabisa bahati mbaya hatumii jf kwa sabb ya upeo wake ni mdogo yeye kutwa yupo fb.

Mimi kwa kuwa nipo hapa nikaona nilete hili jukwaani maana "the main pot does not lack the crust"

Fast forward kwenye mada jamaa angu anaishi na mwanamke kwa muda sasa bahati mbaya bado hajamuoa wapo kwenye hyo next procedure
Kwa mtizamo na mienendo ya ya yule manzi ni bonge la wife material kweli kweli

Lakini tatizo linakuja sehemu moja tu,kwanza ni demu ambae aombi hela kwa jamaa ake hata kidogo yani yeye anasubiri atimiziwe zile basic need zake tu kama kwenda saluni,kucha,na mahitaji madogo madogo mengine hata asipopewa uoni akibadili kwamba kaenda sehem kapewa na kubadili mitindo ya nywele BIG NO

Yuko very cool sio mtu wa kutoka kutoka na outing za hpa na pale muda mwingi yuko home vitu vingi vinaletwa na boda+ na jamaa ake

TATIZO HILI HAPA
Anaomba sana hela rafiki zake ambao awesome nao na hasa wale ambao tyr wametoboa ki life
Hususani wa kiume,anapenda sna kupost watoto wa kiume kweny birthday hata kawaida kuna muda anamuona bwana ake hata awe vp awezi kumfikia fulani anamtaja yule jamaa yupo miongoni mwa wale ambao anawaomba hela

Hiki kitu jamaa kinamkera sana lkn awezi kuongea sana maana huyu demu licht ya hizo anazotumiwa analeta na wanakula wote hapo hapo hao jamaa wote wapo mkoani kikazi ila huyu demu na jamaa wako hapa dar.

Anachati sana fesibuku hadi saa 7 usku na jmaa yupo ndani

Ushauri ingekuwa wewe ungefanyaje?
Jamaa afanye nini?
Wanajamvi karibuni.

Sent from iPhone 15 Pro Max
 
Habari jf members

Nisiwachoshe,msinichoshe twende mada kuu
Kuna mwanamke anaishi na rafiki wa damu kabisa bahati mbaya hatumii jf kwa sabb ya upeo wake ni mdogo yeye kutwa yupo fb.

Mimi kwa kuwa nipo hapa nikaona nilete hili jukwaani "maana jungle kuu halitosis ukoko"

Fast forward kwenye mada jamaa angu anaishi na mwanamke kwa muda sasa bahati mbaya bado hajamuoa wapo kwenye hyo next procedure
Kwa mtizamo na mienendo ya ya yule manzi ni bonge la wife material kweli kweli

Lakini tatizo linakuja sehemu moja tu,kwanza ni demu ambae aombi hela kwa jamaa ake hata kidogo yani yeye anasubiri atimiziwe zile basic need zake tu kama kwenda saluni,kucha,na mahitaji madogo madogo mengine hata asipopewa uoni akibadili kwamba kaenda sehem kapewa na kubadili mitindo ya nywele BIG NO

Yuko very cool sio mtu wa kutoka kutoka na outing za hpa na pale muda mwingi yuko home vitu vingi vinaletwa na boda+ na jamaa ake

TATIZO HILI HAPA
Anaomba sana hela rafiki zake ambao awesome nao na hasa wale ambao tyr wametoboa ki life
Hususani wa kiume,anapenda sna kupost watoto wa kiume kweny birthday hata kawaida kuna muda anamuona bwana ake hata awe vp awezi kumfikia fulani anamtaja yule jamaa yupo miongoni mwa wale ambao anawaomba hela

Hiki kitu jamaa kinamkera sana lkn awezi kuongea sana maana huyu demu licht ya hizo anazotumiwa analeta na wanakula wote hapo hapo hao jamaa wote wapo mkoani kikazi ila huyu demu na jamaa wako hapa dar.

Anachati sana fesibuku hadi saa 7 usku na jmaa yupo ndani

Ushauri ingekuwa wewe ungefanyaje?
Jamaa afanye nini?
Wanajamvi karibuni.
Hayana Muongozo
Anywei Hilo la kuomba pesa washkaji wengine ni msala, la kuchat na watu hadi saa7 usiku facebook ni double trouble
Cha msingi apo yeye afuate Moyo wake unasemaje
 
Huyo dawa yake ni kuamsha popo tu kuanzia saa 3 mpaka majogoo ukifanya hivi mara 4 kwa wiki na akirudi kutoka kazini amechoka hana tena muda wa kuchat fesibuki ipo hivi

Ukitaka mwanamke mwembamba owa mwembamba, ukitaka mnene owa mnene usoje owa mwembamba ukasema atanenepa nyumbani imekuja kwako,

Maisha ya mahusiano ndio maishi halisi ya ndoa ukisema umuoe atarekebishika nda imekula kwako , ukiona ktk uch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo afanyaje sasa??
 
Back
Top Bottom