GoLC
Senior Member
- Jul 10, 2025
- 138
- 218
Habari za asubuhi wana MMU.
Niende kwenye mada. Huwa napita sana humu kwenye nyuzi na kugundua kuwa wengi walioko humu ni Gen Z. Hii ni kutokana na mada zao wanazoanzisha, au kwa namna wanavyochangia.
Sasa kwa sisi Gen late 70s tunapatwa ukakasi wa kuchangia mada. Ila kwa kuwa mimi ni mshauri mwandamizi, najipasa kujichanganya ili nikiwemo humo niweze kuokoa ndoa za vijana, ikiwa ni pamoja na kuelekeza namna ya kuhusiana.
Sasa mojawapo ya mada imenigusa humu nami nikajiuliza, wife material yukoje? Nikahitimisha kuwa kama kuna wife material, kuna pia wife spiritual na wife emotional.
Mdau huyo alisema kuwa wife wake ni material kweli kweli ila alifanikiwa kumcheat na kuzaa nje ya ndoa yake. Hii inatoa picha kwamba kuwa wife material pekee haitoshi kukidhi vigezo vya kuwa mke bora. Si ndio maana yake?