Nyoooolo!😂😂😂 hivi kweli wewe ndoa unaitaka? Embu kwanza dili na mmevbana hayo mengine baadae.

Mwenyewe huu uzi nimeupenda sema naanzaje kumfata piem mtu hajaweka hata no. Embu kama humtaki nifundishe nikienda piem nithemeje?
😅😅😅Umetukana Kisukuma kabisa eti" nyoolo"
Nyanebhe ng"wanike😅
 
Nyoooolo!😂😂😂 hivi kweli wewe ndoa unaitaka? Embu kwanza dili na mmevbana hayo mengine baadae.

Mwenyewe huu uzi nimeupenda sema naanzaje kumfata piem mtu hajaweka hata no. Embu kama humtaki nifundishe nikienda piem nithemeje?
Mimi mwenyewe kuhusu ndoa Bado sijajua Kama naitaka ama lah😂😂😂
Suala la watoto na muonekano wa Baba yao ni muhimu mnooo🤣🤣🤣🤣
Zama piem chelewa chelewa ukute mwana si wako fursa adimu hizi..😜
Hapo ukifika piem usime vipi 🤔ngoja kwanza
 
Mimi mwenyewe kuhusu ndoa Bado sijajua Kama naitaka ama lah
Suala la watoto na muonekano wa Baba yao ni muhimu mnooo
Zama piem chelewa chelewa ukute mwana si wako fursa adimu hizi..
Hapo ukifika piem usime vipi ngoja kwanza
umechachuka siku hizi dada angu, umenipita had mie yaan
 
uzitoe wapi sasa hizo sifa? Usinichekeshe mie wee fursa yako bado. Kaa kwa kutulia.
😂😂😂😂Kwamba dada ako Sina sifa🤣🤣🤣🤣 weeh mtoto usitake kunitia aibuuu
 
Mimi mwenyewe kuhusu ndoa Bado sijajua Kama naitaka ama lah😂😂😂
Suala la watoto na muonekano wa Baba yao ni muhimu mnooo🤣🤣🤣🤣
Zama piem chelewa chelewa ukute mwana si wako fursa adimu hizi..😜
Hapo ukifika piem usime vipi 🤔ngoja kwanza
Nisemeje sasa?

Nilikuwa nawaza nikizama piem thijui nitheme hivi?
Mimi naitwa luckyline natokea chattle HQ.Nimekuja piem kufatia bango lako. Nina vigezo vyote na zaidi.

Je utanipenda na kunijali kwa kila kitu unipe na hela hata kama sijakupenda? Na mimi nitakupenda na ndugu zako wote.

Thenki yu.

Hii imekaaje niikopie piem? Kuna cha kuongeza au kupunguza?
 
umechachuka siku hizi dada angu, umenipita had mie yaan
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwelii eeeh...Ila najishangaa sijui nimekuaje🤭
Embu nirudishe kene mstari usije nikosa
 
Nisemeje sasa?

Nilikuwa nawaza nikizama piem thijui nitheme hivi?
Mimi naitwa luckyline natokea chattle HQ.Nimekuja piem kufatia bango lako. Nina vigezo vyote na zaidi.

Je utanipenda na kunijali kwa kila kitu unipe na hela hata kama sijakupenda? Na mimi nitakupenda na ndugu zako wote.

Thenki yu.

Hii imekaaje niikopie piem? Kuna cha kuongeza au kupunguza?
nyie watu ntakufa kwa kucheka mie khaaah.
 
Mleta uzi ukute ni ni mwanaume haswa lakini tutamchukulia poa kwakuwa ni humu jf sehem ya kupunguzia stress. Huyu ilitakiwa nikutane nae mitaani nijaribu bahati yangu. Ila kwa humu jf wacha tusindikize uzi hakuna kitu naogopa kama kukutana na mtu wa mitandaoni kha
 
sasa si unajaribu kwa huyu, uoga wako ndo umaskini wako lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom