Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia miaka 30 mpaka 38
3. Kazi awe nayo au asiwe nayo haina shida
4. Elimu walau kidato cha nne
Mengine ni maelewano na kujifunza maana kila kitu kinawezekana
Karibu I
Umenichekesha eti asiwe Msabato, mbona wasabato siku hizi wanadharaulika kama mademu wa Kichagga na Kipare kunani?
 
Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia miaka 30 mpaka 38
3. Kazi awe nayo au asiwe nayo haina shida
4. Elimu walau kidato cha nne
Mengine ni maelewano na kujifunza maana kila kitu kinawezekana
Karibu I
Im here if you mean it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom