Handle
JF-Expert Member
- May 12, 2020
- 236
- 275
Habari wakuu.
Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa tz.kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.
Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kikweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu vizuri
Sasa kilichonifanya kuandika huu uzi ni kisa kilichotokea juzi jumamosi, wife ameninunia sababu ikiwa kwamba aliniomba pesa ya kusukia kama 20k hivi nikamwambia sina, nikamwambia yeye anakosaje hiyo elfu 20 wakati mahitaji yote ya nyumbani natoa mimi. Kanuna mpaka leo.
Nimeambatanisha ushahidi wa salary yake hapa.nishaurini, huyu mwanamke yuko sahihi kuniomba ela ya kusukia wakati kanizidi kipato karibia mara 4?View attachment 1691695
Umeyatafuta umeyapata sasa unalia Lia ww mpe tu ni jukumu lako sasa nae alkua anakutega tu ukatae apate kununa na amefanikiwa