Wife kanishitaki polisi

sidhani kama ilikuwa kofi moja tu,utakuwa ulimdunda sana hadi majirani wakasikia makelele yenu sasa anaona aibu kuendelea kuishi hapo khaaaaaaaaaaaaa bora muhame kaka wewe ni marwa au chacha???

suala siyo marwa wala chacha..kuheshimiana ndiyo jambo la msingi..mtu unamwambia aache kukutukana tena sometime mbele za watu ..hakuelewi
.inafika mahala uvumilivu unaisha..
 
suala siyo marwa wala chacha..kuheshimiana ndiyo jambo la msingi..mtu unamwambia aache kukutukana tena sometimes mbele za watu ..hakuelewi.inafika mahala uvumilivu unaisha..

no comment..........................................
 
Felix

Nijuavyo mimi wanawake tu wavumilivu sana sana sana na mwanamke kabla ya kuchukua hatua huanza na kusema, ikifika mahali akachulua hatua kama huyu mwanamke ujue KASHACHOKA navitimbwi vya huyo bwana.

Nimekupata mkuu. ila pamoja na kuwa wavumilivu jaribuni kuweka kapazia mdomoni, mnaongea sana hata jambo likiwa dogo. so wanaume wengine wana hasira na hivyo upiga wakijua kama ndo kumaliza matatizo kumbe sivyo.
 
Mwanamke huchwapwa kwa noti au vitenge vya wax. Hujafundwa nini. Kama mwanamke ni ngoma basi cheza si umeshaipiga? Tukusaidie nini sasa.
 
suala siyo marwa wala chacha..kuheshimiana ndiyo jambo la msingi..mtu unamwambia aache kukutukana tena sometime mbele za watu ..hakuelewi
.inafika mahala uvumilivu unaisha..
Mkuu, huna hela. Tafuta hela vizuri atakuheshimu tu. Na pale utakapo mpa keleb moja au mbili atakua anatulia pembeni baada ya mda unam bembeleza una mpa kimoja mnalala.
Atakupenda huyo acha!
Na hizo dharau na matusi hutasikia,
 

umeongea busara kubwa sana na ni lazima uwe great thinker kuelewa hiki ulichomshauri. Kazi kwako mleta mada ushauri halisi ndo huu
 
Last edited by a moderator:
michoshoHuyo humekosea kumchapa kofi peke yake.Wanawake wasio na adabu unapiga vizuri sana mpaka nguvu ya kwenda polisi Anakosa.Mikwaju muhimu sana!Muulize mama vasco da gamma kitu gani nilimfanya. Yeye mwenyewe katuliaaa!
You are so powerful to beat women, but when it comes to real men,the only thing you can do is to commit suicide mission. Like Hitler. Peaceful religion allows to beat women. Would you beat Hur( 72 virgins) too on hell?
cc FaizaFoxy
 
mmmmhh.....kwakweli hata mimi kipigo hapana aiseeeh!! Naweza nikakuhama kabisa nakuachia na nyumba.
Siwezi kuvumilia kipigo.
 

KUNYATA ANYATE KINYONGA AKINYATA KICHECHE ANYATIA KUKU" yeye kupelekwa sero ndo kovu lakini kumdunda mwenzie sio kovu ni busu eeeh
 
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea
Mkuu ni matusi gani? Hebu yaandike hata kiutu uzima tutaelewa tu. Halafu wewe mwenyewe unajiita michosho!! Sasa dah.....ujue majina yanaakisi tabia za watu.
 
Last edited by a moderator:
We umesoma ukaelewa au umekimbilia kujibu tu?

nimeelewa sana kumbe ukimpiga akaumia majiran wakasikia sio shida wala,lakin kisa kakupeleka kwa wababe wenzio unaleta uzi. ungeleta kabla hujampiga
 
You are so powerful to beat women, but when it comes to real men,the only thing you can do is to commit suicide mission. Like Hitler. Peaceful religion allows to beat women. Would you beat Hur( 72 virgins) too on hell?
cc FaizaFoxy

BIBLE SAYS.

1 Corinthians 14:34-36

Wives, submit yourselves unto your own husbands, as unto the Lord. For the husband is the head of the wife, even as Christ is the head of the church: and he is the saviour of the body. Therefore as the church is subject unto Christ, so let the wives be to their own husbands in every thing.


Colossians 3:18
Wives, submit yourselves unto your own husbands, as it is fit in the Lord.

Bible tells women TO WORSHIP their HUSBANDS.

Titus 2:4-5
Likewise, ye wives, be in subjection to your own husbands.
 
hata ww utakuwa hujui..bora ukae kimya tu..na ww huenda ukawa ni aina ya wanawake wenye mdomo..na kwa mwendp huo huokewi na km utaolewa hutopata amani kiz kila siku mtangombana

kijana tuheshimiane mimi niko kwenye ndoa zaidi ya miaka 40. navyokwambia tafuta wazee namaanisha wazee wa kiume mimi nikikufunda unaweza usininiamini sana kwa kuwa mimi ni mwanamke.
inabidi kinababa wenye busara au wajomba wakae na wavulana wao wawaelemishe otherwise tutaendelea kuona mambo ya ajabu kwa kizazi cha sasa.

halafu nikukumbushe tu kutokuolewa sio moja ya sababu inayoongeza mortality rate tanzania.
 

haiwezekan umpge leo kexho aende polce hyo mwanamke wa aina gan una mfumo dume man angu na mbona hujaweka mazaifu yko
 

GBV (Gender Based Violence) . Usiendekeze michepuko, haina deal!
 
Mwanamke akushakupeleka polisi huyo tena sio mwanamke..baada ya Polisi unajua atakufanya nini? Nimngemwelewa sana angekimbilia kwa wazee au kanisani/kwa viongozi wa kiroho sio polisi.

Wewe unategemea kuna polisi wa kusuluhisha ndoa kweli?
 
No sane man can buy into these gibberishes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…