Hiyo imekuwa ni kauli ya mke wangu,niliyezaa naemtoto mmoja,ambaye ana umri wa miezi 9.Kauli hiyo amekuwa akiitoa mara kwa mara hasa kunapotokea ungomvi(mara nyingi unatokana na wivu mwingi alo nao) wa aina yeyote ile unaopelekea kupigana.
Hayo maneno ya kuwa ipo siku ataniua ,nimekuwa nikijiuliza sana,endapo anamaanisha au ni hasira tu!!Kila nikitafakali na kuangalia mwenendo wake na tabia yake, nashindwa kuelewa km ni kweli hilo suala lipo kichwani mwake kwa maana ipo siku atalitekeleza ua la!!.ni miaka 3 imepita tangu tuanze maisha na huyu mke wangu.
Suala hili nalileta kwenu JF MEMBERS,mnipe walau mwanga wa nini nifanye juu ya hii kauli ya mke wangu.
Natanguliza shukrani kwa mchango wenu wadau.
hivi inawezekana kujidhamini?endapo polisi wataniweka ndan..?
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea
mama mtu anamatusi na ndiye anayeshinda na mtoto nyumbani, sipati picha huyo mtoto atakuwaje? kwa kifupi huna mke, ANAUNDUGU NA FROLA MBASHA? YATAKUTOKEA KAMA YA EMMANUEL MBASHA,WE MG'ANG'ANIE, UNAJUA ANALALA WAPI? MKE WA MTU ALALE NJE? KWELI AMEKUDHARAU!! NA KAMA UTAENDELEA NAE BASI UJIANDAE KUWA EMMANUEL MBASHA.
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea
Mkeo naye ni mala.ya tu kama walivyo wengine pengine kuna dereva wa boda boda anamzingua;Jipange vizuri.Hakikisha unaenda pale kituoni na watu kama wawili wakukuwekea dhamana;Na usiende bila pesa, unajuwa tena hii nchi imeharibika.
hujui ndo maana unasema hvo...mpaka namchapa kofi hujui nimemwonya mara ngapi..kila mtu anahasira..hata uwe mpole kiasi gani..
sasa kila mtu akiamua kuwa na hasira kama zako unafikiri dunia ingekalika? jaribu kucontrol hasira zako matokeo yake umepelekwa polisi. Kuna sababu umepelekwa huko.
hujui ndo maana unasema hvo...mpaka namchapa kofi hujui nimemwonya mara ngapi..kila mtu anahasira..hata uwe mpole kiasi gani..