Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Ahahaha hiv hizo za kike huwa zinakuwa ngap?Una wasiwasi kama jogoo la kijijini, ukiona mabegi tu unajua kuna kuchinjwa. Keshamegwa huyo, mpe hongera zake kwa kujijali na kukulinda.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums