Wife amekuja na condom kunionesha!!

Wife amekuja na condom kunionesha!!

images
 
kijana mimi wa kwangu aliniletea boksi zima nyumbani eti wamepewa ofcn cha ajabu zikaanza kuisha taratibu nikiuliza kesi inanigeukia mimi eti hajui mara anatumia mwenzie kuna siku alizitupa kwa hasira kama vile kwanini namkataza kufanya nje na kondom anatumia na makelele lile boksi alilimaliza peke yake mpaka leo mjinga mimi maana niliishia kulia kama mtoto mdogo nakuvumilia maumivu mpaka sasa ni siri ya mtungi kijana abiria chunga mzigo wako wa ndani taa nyekundu hiyo imewaka uamuzi unao mwenyewe
 
Pole kwa kuumiza kichwa,
Siku zote mkeo ni ukiwa naye kitandani ila akitoka si wako na hilo watakiwa ulijue maana huenda unjipinda sana na kudhani kuwa wewe ni mtalaamu kumbe unajichosha bure
Cha msingi mshauri kama utaona nyendo zake si nzuri na ukiona bado anarudi nyumban ujue bado anakupenda na hajakutana na watalaamu zaidi wa kumchanganya asiweze kurudi na hili ni sawa hata kwako wewe mwanaume.
Usipende kuishi kwa hisia utakufa siku si zako au ukawapatwa na maradhi ya moyo bure
Kumbuka kama hukumkuta bado anausichana wake basi jua alikuwa na mtu aliyekuwa naye kabla yako na hata kama ulimkuta na usichana wake jua anaweza kubadilika huyo ni mtu na si jiwe linalobaki milele sehemu hiyo lasivyo lisogezwe
Wewe ishi kwa amani cha msingi mshauri kondomu hazizuii ukimwi (size of virus is 5 um na mbegu ya kiume ni 60 um na kondomu zina uwezo wa 80% kuzuia mimba ambapo size yake ni 60um je mwenye 5um ataweza kuzuiwa hiyo ni akili kichwani kama huamini endelea kutumia kondomu lakini hutopona kuambukizwa virusi naomba google ktk mitandao acha maelezo ya wanasiasa)
Huo ndo ushauri wangu kwenu na hasa kwako unayedhani mkeo ni wako pekee yao hali umempendezesha kwa msosi na nguo maridadi unategemea asiombwe na mtu mwanaume kama wewe.
Kama mwanaume anamfuta kichaa pamoja na mavazi yake na anamwomba je wako aliyevaa vizuri asiombwe hilo unajidanganya cha msingi mshauri awe anaangalia wa kuwa naye si kila mtu ndiyo na kama anaweuzo wa kumkataa basi afanye hivyo.
 
ndugu zangu!
sikuwahi kuziona condom za kike wachana na kuzitumia hata mara moja!sikuwahi pia kumwambia mke wangu kuwa sizifahamu condom za kike!jana usiku aliniambia ofisini kwao wameweka condom za kike na kiume vyooni!yeye akaamua kuchukua mbili za kike kuja kunionesha!!!jamani ni kweli alikuja nazo kunionesha au ndo nimeshapigwa changa la macho na mtu ametumika!!!

Ni mke mwema huyo anataka mfanye family plan sema hajataka kuwa wazi. Ungezifuma tu bila kuonesha ingeleta maswali ila hii mbona imetulia ni wasiwasi wako tu, unaonesha hujiamini sana
 
Negative thoughts zinavunja sana ndoa,kila kinachotokea wazo la kwanza linakua negative kwa nini lakin?haujamuuliza alivutiwa na nini kuzibeba na kuzileta kwako?
Pia mahusiano yenu na maisha yenu ya kila siku yakoje?inawezekana wife hakuwa anazijua na alipoziona ndo ameleta na wewe uzifahamu!
 
Negative thoughts zinavunja sana ndoa,kila kinachotokea wazo la kwanza linakua negative kwa nini lakin?haujamuuliza alivutiwa na nini kuzibeba na kuzileta kwako?
Pia mahusiano yenu na maisha yenu ya kila siku yakoje?inawezekana wife hakuwa anazijua na alipoziona ndo ameleta na wewe uzifahamu!

^^
Hili neno jema
^^
 
Mkeo anafanya kazi "kambini" nin? Wanagaiwa condom ofisin! Duh..

Wasi wasi wako nin ndugu wakati kakuonesha kitu ambacho hujawah kuona? Ungemwambia avae moja kabisa ila ujue nayo inakuwa na ladha kama ya kiume au vp? Au zilikuwa zishatumika nin?

Hapo nusa harufu ya mafuta ya hzo mipira then kila mkeo akirud unamnusa papuchi kujua kama aliivaa! Si unataka kulinda?

umri wako tafadhari...
 
ndugu zangu!
sikuwahi kuziona condom za kike wachana na kuzitumia hata mara moja!sikuwahi pia kumwambia mke wangu kuwa sizifahamu condom za kike!jana usiku aliniambia ofisini kwao wameweka condom za kike na kiume vyooni!yeye akaamua kuchukua mbili za kike kuja kunionesha!!!jamani ni kweli alikuja nazo kunionesha au ndo nimeshapigwa changa la macho na mtu ametumika!!!
tukikwambia umepigwa changa la macho utaumia moyo sana na itasababisha matatizo kwenye ndoa yako. tunapenda tukuambie kuwa, hakuna tatizo lolote hapo, alitaka tu uzijue kwasababu wameweka vyooni kwenye ofisi yao. potezea. kuhusu mambo haya ya ndoa wakati mwingine tembelea bofya SHERIA KWA KISWAHILI
 
ndugu zangu!
sikuwahi kuziona condom za kike wachana na kuzitumia hata mara moja!sikuwahi pia kumwambia mke wangu kuwa sizifahamu condom za kike!jana usiku aliniambia ofisini kwao wameweka condom za kike na kiume vyooni!yeye akaamua kuchukua mbili za kike kuja kunionesha!!!jamani ni kweli alikuja nazo kunionesha au ndo nimeshapigwa changa la macho na mtu ametumika!!!

Sasa unakuja kutuuliza sisi ili tukujibu nini,muulize mkeo akuambie.
 
^^
Hili neno jema
^^

ndo hivo Himidini kwenye maisha ya ndoa kila mtu ana mawazo yake pengine mwenzie kabeba kwa uzuri ila sasa huyu amewaza vingine tena bila hata kumuuliza!
 
Last edited by a moderator:
Kaka unajua mambo mengine yanahitaji hekima tu kuyatambua! siku zote mtu anapotaka kujiweka karibu na hatari kwa makusudi huwa ameshajipanga jinsi ya kuiepuka hatari hiyo inapotaka kumdhuru! hebu fikiri hivi! ingekuwa ni wewe umempelekea kondom za kiume na kumpatia maelekezo yoote sawa na aliyokupatia kuhusu yeye kuwa na hizo kondom za kike angekuhukumu? angekuelewa? angekusisitiza uendelee kuwa nazo? Wanawake wanatabia ya kujaribu, mwaka huu ata kutingisha mkono, usiposhtuka, mwakani ata kudandia begani, usiposhtuka mwaka unaofuata ataamua sasa kuweka makalio kabisa kichwani na hapo ndio mwisho wa uanaume yaaani kushney kwa kihindi! amka bro!
 
Una wasiwasi kama jogoo la kijijini, ukiona mabegi tu unajua kuna kuchinjwa. Keshamegwa huyo, mpe hongera zake kwa kujijali na kukulinda.

Teh teh teh...tumbavu twangu...!!
 
Aliwazalo mjinga ndo litakalomtokea (Afande Sele)
Huyo ni mkeo na kama 'ameliwa' au 'hajaliwa' wewe ndo uko kwenye nafasi nzuri kujua kuliko sisi.
Haya tukisema kaliwa utafanyaje?
Akili kumkichwa...

Na kwel ndugu,maswali mengine magumu,
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama kutokujiamini
 
Vitu vingine broo si vya kuexpose vinahitaji busara,transparency an confidentiality ktk kujurge.sasa ww naona unadisclose mambo memgine bila utaratibu.
 
Mleta mada atajuuta kuileta hii hapa, maana ni zaidi ya makavu live..
 
nafikirihuna haja ya kuwa na wasiwasi, ni kweli kwamba hizi kondom zipo na watu wengi bado hawaja zifahamu, na kama mkeo ni mfanyakazi waseikalinihuwa zina wekwakila choo au konambalimbali ,hii nikuwapafursa watumiaji waweze kuchukua bila hofu ya kuonwa na watu. mimi nafikiri mkeo alipenda uione na ikiwezekana mujaribu kuitumia, inawezekana ni ishara kwamba angependa ufanye naye tendo la ndoa.... punguza wasiwasi mkuu
 
Back
Top Bottom