kijana mimi wa kwangu aliniletea boksi zima nyumbani eti wamepewa ofcn cha ajabu zikaanza kuisha taratibu nikiuliza kesi inanigeukia mimi eti hajui mara anatumia mwenzie kuna siku alizitupa kwa hasira kama vile kwanini namkataza kufanya nje na kondom anatumia na makelele lile boksi alilimaliza peke yake mpaka leo mjinga mimi maana niliishia kulia kama mtoto mdogo nakuvumilia maumivu mpaka sasa ni siri ya mtungi kijana abiria chunga mzigo wako wa ndani taa nyekundu hiyo imewaka uamuzi unao mwenyewe