Wife alivyoniharibia siku yangu

VUNJA NDOA
 
Huyo mke wako inaonekana bado yuko very immature. Japokua age yake inaweza kuwa imeenda (kwa sababu first born wenu yupo form 2), ila inaonekana maturity yake bado iko chini sana. Hicho alichokifanya ni utoto pro-max, ana behave kama teenager kumbe ni mama mtu mzima kabisa mwenye mtoto mkubwa wa Sekondari. Uache kumchekea, ujaribu kum discipline, usimame kama mzazi wake (ni kazi ngumu inayohitaji uvumulivu).
Ila pia, uwezekano mwingine ni kwamba amejawa hasira na kisirani, na hii kwa wanawake mara nyingi husababishwa na kutosuguliwa vizuri kitandani. Hivyo, jichunguze pia kama je kitandani unampelekea moto kiasi cha kutosha na kukata kiu yake kabisa? Hiyo pia inaweza kuwa kisababishi cha kisirani cha mara kwa mara kisicho na kichwa wala miguu.
Pole sana mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…