WIDA: War In Dar.

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Watanzania tukiamua jambo tunaweza.

Tumeifukuza corona kwa umoja wetu...kujifukiza, kula malimao, ndimu, tangawizi, vitunguu swaumu n.k

Sasa Simba na Namungo wameibeba Tanzania kimataifa.

Nia, ari na dhamira tukiwa navyo, hakika tunaweza ifanyia makubwa nchi yetu.

War in dar

Asante Haji Manara kwa kuwaunganisha watanzani iwe kwa lazima ama vinginevyo..
 
Mapambano yanayofahamika Duniani ni:-

1. Thrilla In Manila
2. Fight of The Century
3. The Rumble In The Jungle.
 
WIDA
Daaaa, huo udhulumati mlio wafanyia wazimbabwe mtaulipia mara5
IMG-20210106-WA0008.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom