Nimejaribu kufungua hiyo link lakini haionekani tena. Ninakubaliana nawe kuwa wanaume wanafikiria zaidi kungonoka kuliko wanawake, lakini inakuwa hivyo hivyo kwa sababu za kisaikolojia tu kuwa "Mwanamume wa kweli lazima awe juu au wa mwanzo katika kila kitu". Katika uhalisia, hasa katika umri mdogo na muda wa ujane, wote wavulana na wasichana wanapenda sana kuongelea ngono baina ya wao kwa wao, kuelezana fantasy na matamanio yao, kuambiana uongo na kadhalika. Mara tu wanapokuwa na wenza, baada ya muda kupita katika mahusiano yao, wanaume wanakuwa wachovu kuliko kobe. Mwanamume anahiari kuangalia mechi ya mpira au movie kuliko kungonoka na partner wake. Na ndio maana mara nyingi baadhi ya wanawake walio sexually active na katika mahusiano ya muda mrefu, huvunjika moyo kuona kuwa yule aliyemfikiria kuwa ni dume la mbegu, amegeuka kuwa the most boring person.
Ukweli unabakia pale pale kuwa "Inaonesha kila mtu anajua sana kuhusu nadharia za mapenzi na ngono, lakini ni wachache sana wanaoshiriki katika vitendo".