Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kwakweli, wanawake warefu hutongozwa sn na wanaume wafupi, na kuolewa nao pia, japo wengi hupenda warefu
Kumbe na Wewe hujaolewa eeh
Hyo ndo point.. Ili kiukweli wanawake wengi ni wafupi.. Kukutana na mwanamke mrefu ni nadra sana.
Hizi ni siasa chafu, na za uzushi kutoka kwa wapinzani wetu. Umoja wa watu wasio wafupi, tunaandaa press conference ili kuweka wazi hatua tutakazochukua kuhakikisha masuala kama haya hayajirudii.
Wewe ni Paulo Sergio yule Gold digger wa Bank of Brazil 2006? Ase mpaka kesho wale jamaa nawakubaligi sana
Hahaha huyo huyo Boss. The smiling gardener with a beanie.
wafupi wakiwa na pesa wanakuwa warefuuuuu haoooo
hii ndo raha ya kuongoea na watu wazima..mnaongea lugha moja mnaelewana🙂)..basi ngoja tuanze kuhesabu siku
Hahaha umeona eeh. Yaani sasa hivi tunajishaua ooh Sitaki mwanaume mfupi, Keshokutwa huyo unanikuta na mume wangu andunje najichekesha chekesha kwa aibu vigezo kushney.
All in all siku ukipata mtu anayeeleweka, basi hizi fantasy zinaisha tu fastaa na unakuwa very proud na andunje wako
haah!!! usiulize saa hivi..bado mapema mno..utakatika bureKabisaaaa, hivi chungu cha ngapi vile leo?
Man, wale machalii ni vichwa sana.. kuna yule "The white boy" daah till date their identities are mysterious
Niki-Turn over kwenye topic.. am glad being Tall though i need gym..lol
haah!!! usiulize saa hivi..bado mapema mno..utakatika bure
usijali..siku hazigandi..unaweza kukaa kwa muda gani?Mweeeeh ngoja niwe mvumilivu
Niki-Turn over kwenye topic.. am glad being Tall though i need gym..lol
usijali..siku hazigandi..unaweza kukaa kwa muda gani?
Gym muhimu lazima ujenge kabody flani hivi amaizing na urefu sasa!!
ok..i'll be waitingEheeeeeee let me think
You the Wi-Fi G, upewe nini tena? Utani pembeni, just have your pockets on steroids man, and you'll be alright.