Baba mtata
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 280
- 40
Habari wakuu!
Naomba kujua hasa wanawake wanisaidie katika hili kwanini inakua ngumu kuonyesha hisia zako kwa mtu unayempenda?mfano unakuta dada ametokea kumpenda mwanaume lakini ataishia kumwangalia tu kila akimuona anamwangalia tu je ujumbe utamfikia mlengwa?japo tamaduni zetu haziruhusu mwanamke kutongoza je hakuna njia mbadala za kumuonyesha hisia zako yule umpendaye?
Nawasilisha