Why this!!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Mim huwa ni mpenz wa gazet la Mwananch, kuna kipengele cha kutafuta marafiki na wachumba. Nimefanya simpla research nikagundua wengi wao wanaotoa no zao kwenye magazet kwa ajil ya kutafuta wachumba ni wa kiume.
Takwimu inaonyesha kuwa wanawake ni weng lakini wanaume tunaongoza kwa kutoa majina kwenye magezet. Je! Tatizo ni mistari ime expire au?
 
Mnaamini kwamba kwa mtindo huo mtapata someone new/different, kumbe ni walewale mnaopishana nao mitaani daily!! BTW, hakuna sehemu maalum iliyotengwa kwa ajili ya kutafutia wapenzi, so popote pale safari ya mapenzi inaweza kuanzishwa, whats important ni kuwa mwangalifu na huyo mtu mwenyewe unaempata!
 
wanaume huwa ndo tunatongoza
wanawake tunawatongoza wao wanatukubalia
hii ni kwa shenzi attitude ya Kiafrika............
 
Wanaume mara nyingi ndio huwa tunafuata wanawake...ndio imezoeleka hivyo hasa barani afrika.
Angalia hata hapa JF watafutao wachumba ni wanaume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom