Why this katika uhusiano?

Why this katika uhusiano?

Mbona watu wanaolewa kila siku?

Ni kweli wanaolewa lakini kati ya hao wanaoolewa wengi wao wanadhani wanapenda kumbe wanatamani na ndio maana rate ya ndoa zinazovunjika ni kubwa
 
Mi napinga mkuu, yapo tu mapenzi yakweli na baadhi ya watu humu humu tu.

Mkuu sikatai sana kuwa mapenzi ya kweli hayapo kabisa ila kujua sasa kuwa huyu ana mapenzi ya kweli ndio penye ugumu
 
Mapenzi mbona yapo tu. Tatizo la baadhi wanalazimusha wasiko pendeka. Ushaona wapi ww mapenzi ya kuonga na kuongwa yakadumu?!![

Hiyo inazekana ikawa ni kweli! lakini unaona kabisa mtu ana shida na wewe una uwezo wa kumsaidia,
 
adapt kanuni zangu hutakuwa na muda wa kuwaza hayo kabisaaa na hutaumizwa kichwa na mtu

Please naomba hizo kanuni maana haya sasa mi naona imekuwa kama janga la Taifa
 
Nipende kama nilivyo blue ameshakwambia sasa ww unatanguliza pesa mbele unategemea nn

Shida ni pale unaona ana shida ya msingi ki ukweli kama ni m2 wako unalazimika kumsaidia tatizo anaposhindwa kuthamini mchango wako kwake.
 
Mapenzi ya kweli yapo ila watu siku hizi wanaishi kwa mazoea, na kwa hiyo misemo ndo inafanya watu wanapoingia kwenye relationship wanakuwa na imani kwamba hakuna mapenzi ya kweli hata akipewa mapenzi ya kweli anajua anadaganywa tu.

Inawezekana hapo kuna ukweli!
 
Kwa msemo huo nimekupenda bureee,,,,,, maana umemaliza kila kitu!

unaweza ukadhani una mtu kumbe una lijiti ambalo ni lichumia janga la tumbo lake yeye na familia yake

Umeona mapenzi huja baada ya yeye kukizi haja zake" hapo lazima mapenzi uyachukie'
 
Mkuu sikatai sana kuwa mapenzi ya kweli hayapo kabisa ila kujua sasa kuwa huyu ana mapenzi ya kweli ndio penye ugumu
Kabla hujaanza mistari mwambie unatafta kazi kisha uskizie majibu...Mwenye mapenzi ya kweli utamuona tu
 
Kabla hujaanza mistari mwambie unatafta kazi kisha uskizie majibu...Mwenye mapenzi ya kweli utamuona tu

Ki ukweli hiyo may be inaweza kusaidia maana hali kwa sasa ni tete akijua tu kuwa una chanzo cha mapato tu baaasi, anahamishia matatizo yake yooote na pamoja na ya familia yake.
asante Mkenya halisi
 
Back
Top Bottom