Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,742
- 40,950
Tatizo hao some of us wanazidi kuongezeka kila iitwapo leo sipati picha baada ya miaka 10 ijayo itakuwaje
vitu vina recycle labda after 10yrs watakua kama wapenzi wa 1980's
Tatizo hao some of us wanazidi kuongezeka kila iitwapo leo sipati picha baada ya miaka 10 ijayo itakuwaje
Ni kweli wanaolewa lakini kati ya hao wanaoolewa wengi wao wanadhani wanapenda kumbe wanatamani na ndio maana rate ya ndoa zinazovunjika ni kubwa
Na zamani mambo ya ndoa kuvunjika yalikuwepo kama leo
Any way
acha zamani ibaki kuwa zamani but Mimi zamani niliiona kwa sababu ni wazamani na mapenzi yalikuwa ya kizamani na ya sasa nature inachukua mkondo wake
Nani kakuvuruga?Mapenzi ya kweli yaliisha tangu mwaka 47 sasa hivi umebaki usanii tu
Nani kakuvuruga?
Mapenzi ulaya, Afrika biashara.
Zamani yako miaka gani?
Zamani yako miaka gani?
Ya early 90's
90's zamani? sisi wa 70's?
Ni kweli maneno yakoKi ukweli nimevurugwa na nikavurugika,
Na tukizungumia habari ya relationship hii ni dunia nyingine kabisa inayojitegea ambapo unaweza kumpenda mtu ambae hakupendi na yeye anampenda mtu mwingine ambae hampendi yeye.
na wewe ukapendwa na mtu mwingine ambae humpendi .
.
Wenye bahati zao hubahatika kuyapata ingawaje siku hizi yamekuwa nadra sana.
hizo ni theories tu kila mtu ana version yake
..
Siku hizi wapendanao au wanandoa wanashindwa kuvumiliana. Unapoengelea zamani, wanandoa wengi walikuwa wanalazimika kuvumilia kwa sababu mbalimbali. Sababu kuu wanawake wengi walikuwa hawana uwezo kiuchumi. Kwa hiyo wengi wa wanawake walikuwa wakijiuliza nikiachika nitaenda wapi hapo ikapelekea wengi kuwatii wanaume zao na kuvumilia kwenye mapungufu.
Siku za leo wadada wengi wanaweza kuishi wenyewe kiuchumi kwa hiyo inapotokea hitilafu kwenye mahusiano inakuwa ngumu sana kutii na kuvumilia
keroro keroro keroro keroro