Why stuli za bar ni ndogoo

Nilibet na BAK na si wewe.Wewe unaanzaje kubet wakati huna uhakika na team yako na huna kifua cha kustahimili?Yani wewe kazi kumtia presha mdogo wangu miss neddy

Ulibet na mimi sio BAK au labda ulibet mimi na BAK, au umegeuka baada ya kupatia hadi idadi ya magoli???
 
Last edited by a moderator:
Ulibet na mimi sio BAK au labda ulibet mimi na BAK, au umegeuka baada ya kupatia hadi idadi ya magoli???

Nilibet na BAK tu na alinihaidi akishinda atanipeleka century weekend hii nikaangalie movie
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Last edited by a moderator:
vumilia mwenzako utafiti kafa kiume

sio vizuri hivi ukitegemea kati kati ya mwezi hii unataka watoto washinde na mchicha tupu nini??

Allahmdudllilah la brahamin ewe mwenyezi mungu mjaza neema ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupi nnene na nyembamba tujalie wanawako wa jf tuweze kushinda maswahiba haya na wote mseme

amin amin amin
 

vumilia hadi mwisho wa mwezi
 
vumilia hadi mwisho wa mwezi

loh masai na hizi dawa za sikuhizi za kichina nikifika mwisho wa mwezi naweza nisiamini ndio hilo kwenye picha walahi

labda unihakikishie ku maintain mpaka tar 31...si unajua bambataa zinasinyaaga hasa mwisho wa mwezi unless una zi boost kwenye tar 27-28
 

hahaha nakuhakikishia usalama mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…