Why not If not!

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
15,441
Reaction score
5,820
BRN still has along way to go.
 

Attachments

  • 1424804360213.jpg
    86.9 KB · Views: 851
...pengine hata hajui maana ya kilichoandikwa

...au unaweza kuwa ni usela mavi

Mkuu ni ya kweli hayo na labda ndo anajipendekeza kwa mademu ili aonikane wa ulaya mkumbe ni ulembukeni tuu na hasa hivi vitambara vya mitumba ndo vinatuchanganya ili tufanane na wadhungu wa yuropa na siyo mbaya ni safi tu
 
Yes not because not and Never!!!!!!!!...........................
 
kwani maanake nini?

cc
Watu8
 
Last edited by a moderator:
Duh! Huyu jamaa hata english ya primary inamshinda? Mbona anajidhalilisha sana?
 
😱 BRN ni Shida,sijui elimu ya Tanzania inaelekea wapi??:thumbdown::thumbdown::thumbdown:
 
He is expressing wat he likes.!!nadhsni walioprint tshirt yenyew walikua na maana.!!
 
Kuna mmoja nilimuona kinondoni kavaa tshirt imeandikwa gwantanamo psychiatric unit!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…