Why most women are still single?

Why most women are still single?

they want a man who is rich, tall, handsome, ana gari, nyumba na kazi nzuri..... wakat baba zao wakat wanaoa mama zao walikua just broke, no car, short, wamepanga etc wanatakiwa wawe fair like their mothers!!! i bet hata wengine mpaka leo wazazi wao bado maskini lakini wapi wamepata ujasiri wa kuomba yote haya is beyond me

utandawazi(globalization).Hakuna kingine zaidi ya hicho bro.
 
Safety last umemaliza!Women hawawezi koswa SABABU ya kukuletea watoto 3 wasio wako ndan ya ndoa in whatever way ure!
 
Last edited by a moderator:
they want a man who is rich, tall, handsome, ana gari, nyumba na kazi nzuri..... wakat baba zao wakat wanaoa mama zao walikua just broke, no car, short, wamepanga etc wanatakiwa wawe fair like their mothers!!! i bet hata wengine mpaka leo wazazi wao bado maskini lakini wapi wamepata ujasiri wa kuomba yote haya is beyond me
maisha aliyoishi babu yako/wazazi wako yakatae fanya changes, kama mama au baba yako aliishia form four wewe jitahidi angalu upate hata degree moja, kama wazazi walikuwa maskini usikubali na wewe kufa maskini ili watoto wako waje wawe zaidi yako, tunarithi au kuiga tabia haturithi wala hatuigi umasikini na ujinga wa wazazi wetu.
 
Hivi mwanamke akiwa single, si ina maana kuna mwanaume pia somewhere ambaye yupo single!!!

law of conservation of attraction states that, "in an area A; for every single woman there exists a single man".
assumptions; equal no. of men&women, no polygamy/polyandry etc
 
Wanataka waingie peponi kabla hawajafa,akipata jamaa anataka awe nna gari.nyumba nzuri n.k.hawataki muanze mwanzo anataka usakeeee life aje faidi maisha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom