Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,601
- 167,376
Kila sehemu ina dressing code zake.
dressing code za msikitini hazifai disko
dressing code za msikitini hazifai disko
kuna taarifa akina dada wengi wakiislam wanaomba kazi itv wanaambiwa kwanza wakiwa Live wasivae hijab jambo linawashinda. kwani kwao wanaona hijab ni vazi la lazima. lkn pia wakati huu wa utandawazi kumchagulia dada kuvaa ni kichekesho cha mwaka. kubwa zaidi ni yule dda aliejistiri na sio kimini
petty things like these ndizo zinaturudisha nyuma
cant we just get along?
Wahusika tulishaomba huyu muogomchungu aondolewe kwenye list ya kuchangia, kila mara anapochangia anachangia swla la udini. Huyu mtu aangaliwe vizuri ametumwa kuvuruga nchi hii. Hata hivyo kila sehemu ya kazi ina sheria zake, kama wewe ni mkulima haufanyi kazi nafikiri hili utakuwa haulijui
yaani mtu kichwa kimejaa kuonewa na kunyanyaswa kidini tu, ukiona jina labda leo atakuja na kitu kipya, wapi sasa kama nchi ina wengi kama hawa unadhani kutakuwa na maendeleo kweli?
Maana watu wanagombana na CCM kwa faida ya wote, wao wako bize kusubiri Maaskofu wanasema nini?
thread kama hii ipo kwenye habari mchanganyiko na hakuna hata mtu aliyeijibu.... potezea na ondoa habari zako za uchochezi wa kidini
Can't we discuss more productive issues to our country other than this.
na wewe kiherehere cha nini...pia hapa si jukwaa lake...tafuteni jukwaa la kuchangia hiyo mmayoita mila na kumbe ni dini
mods.. hii ni justification ya thread hii kuwa ya udini...
please discard this thread ASAP
LETS BE FAIR WANDUGU.......hebu tuangalie namna ambavyo tunaweza tukajiwakilisha...!
Kwa mtu ambaye sote twajua kuwa ni muislamu safi na aonyeshe uislamu wake pote na muda wote...na si uislamu wa FRONT PAGE.... unakuta mitoto haijui hata "ALIFU..BEE...TE...THE...." ndiyo ya kwanza kung'ang'ania uvaaji wa HIJABU SHULENI (mimi ni mwalimu nimeshuhudia hili) wakati huko mtaani ni kahaba nambari moja ...mvaa vimini na skin tight KAZI KULETA FUJO MASHULENI....!
Na ukifuatilia unakuta huo ushungi anao wa shuleni tu...na hata mihimizo yao wanataka wavae shungi mashuleni tu na sio mitaani...(PITIA MOST OF SO CALLED ISLAMIC SCHOOLS)
Hapa sijapinga kwamba wapo ambao ni GOOD MUSLIMS....kwa hawa let them wavae kwani ni FULL TIME MUSLIMS, na kwa PART TIME MUSLIMS hawa wasipewe nafasi kwani ndo huleta migongano katika jamii
Kati ya vigezo vya kuwatambua ni ile alama katika paji la nyuso zaoo..... JE MASISTA DU WANGAPI WA-KIISLAMU WANA ALAMA HII...? just mention them......HALIMA MDEE....ASHA BARAKA....HADIJA KIMOBITEL...RAY C......just to mention the few.......!
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari nyengine
lkn baadhi ya tv hawaruhusiwi. na hii kutoruhsu uvaaji wa vazi la lazima kwa akina dada wetu wa kiiislam kunaifanya baadhi ya akdada wenye imani ya kweli na dini yao wanashindwa kujiunga na tv hizo huku wakiwa na sifa zao za utangazaji . kwa mfano niliwahi kusoma ktk moja ya gazeti kwamba Sakina dotto alikata kujiunga na Itv baada ya kukuataliwa kuvaa hijab akiwa Online.na wapo wengi tu ambao kwao hijab ni lazima lakina wanasifa zote za kutangaza.
Huku tukiwa tunapigania haki za wanawake Tanzania, yaani wawe huru bila ya kuvunja sheria, vyombo vya habri vikiwa mbele kutetea uhuru wa wanawake,yaani uhuru wa wanawake na kutowanyanyaswa .
Mbona mlimani tv inawezekana na huku Itv, star tv,Tbc haiwezekani? au mlimani tv ni ya waislam?
HIVI VYOMBO VYA HABARI VYETU HAVIONI UMUHIMU HUU HASA TUKIZINGATIA KWAMBA HUU NI WAKATI WA UTANDAWAZI?
Mbona Al-Jazeera hawavai Hijab na hujaitaja?
![]()
So na wanaume wakatangaze na kanzu!!!!!!, au kanzu sio haki ya wanaume mana naona unatetea upande mmoja tu.
tambwe hiza alisema kwamba linapokuja swala dini ya kiislam watz huwa wanaumia na kuona hatari. lkn linapkuja swla la wakiristo huwa wanachekelea sana. alisema juzi star tv jee inamaana uvaaji hijab ktk tv sio mjadala? au kwa kuwa tu inahusu imani fulani? ingalikuwa imani nyengine ungalikuja na hoja hii?
.......... sio kweli ! huyo dada ni Mkorea/msingapore ! pia si Muislaam, hivyo ana hiyari
nini uchochezi kwa wewe, yaani kuutetea uislam ingalikuwa nimeuzungumzia ukiristo ungalipiga thanks.
TANZANIA KWANZA