Why Mheshimiwa Mbunge Zitto is My Hero!!

Why Mheshimiwa Mbunge Zitto is My Hero!!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,464

[h=5][/h] Zitto Kabwe
Siku moja mume na mke wake walifunga safari kwenda kijiji jirani.
Mume akamwambia mke wake apande punda yeye akaenda akiishikilia kamba.

Wakakutana na wakulima wanaenda shamba.
Wakulima wakanongonezana: kweli huyu mume -----! Yeye atembee kwa mguu, mke wake apande punda wakati punda wake mwenyewe. Wakamcheka. Yule mwanamke kwa roho yake nzuri na kwa mapenzi kwa mume wake akasema basi mume wangu panda wewe, mi nitembee majirani wasikucheke.

Mume akapanda punda, mke wake akawa anamfuata nyuma. Wakakutana na wanawake wanaenda kuchota maji. Wanawake wakasema khaaaa! Yaani wanaume wanavyo jipenda hawana mfano! Huyu mwanaume ana nguvu kuliko mke wake ila yeye anapanda punda mke wake anamwacha atembee kwa mguu! Yule mwanaume akasema: ndio maana toka mwanzo nilitaka wewe upande mke wangu maana nawajua hawa wanawake, watatusema sana. Mke akasema: basi tupande wote

Wakaendelea na safari wote juu ya punda, mume kakaa mbele, mke wake kakaa nyuma anamshikilia kiunoni. Wakakutana na wavuvi wanatoka kazini. Wavuvi wakawaambia: hivi huyu punda mnamtendea haki? Yaani uzito wa nyinyi wote wawili na safari yote hii mbona hamna huruma? Wakaona aibu wote wakashuka. Mume akashika kamba ya punda akawa anatembea mbele, mke anamfuata nyuma.

Wakakutana na wawindaji. Wawindaji hawakuwaambia kitu ila tu wakaangusha kicheko. Eti: hivi hawa wanandoa wana akili kweli? Wana safari ndefu, wana punda, ila wanaenda kwa miguu! Si bora wangemwacha punda kwao tu sasa?

Mwanadamu hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha watu wote kwa pamoja. watu watasema tu. Ila kama unafanya sababu unajua unacho kifanya na unaamini upo sahihi, watu watakapo sema hutoyumba. Utajua kwanini umefanya hivo na kwanini wanakosea wanapojaribu kutafsiri matendo yako.

· 15 minutes ago ·

- This is my hero, Mheshimiwa Mbunge Zitto wa Chadema. Ninawakumbusha sana wana CCM wenzangu kwamba anayoyafanya Zitto kwa hili Taifa sisi CCM ndio tuliotakiwa kuyafanya ni muhimu sana tukamuunga mkono na hasa kwenye hivi vita mpya iliyozuka dhidi yake huko kwenye Chama chake. He is our interest, kinachofanyika sasa hivi ni mbinu za kutaka kumfukuza chama that is not our interest, out interest is served well akiwa huko ndani kwa sababu he stands for true democracy ma sio siri kwamba wenye hicho chama are not ready for that, sasa kumpa support Zitto in his war sio kuvunja sheria ya jamhuri wala ya siasa, bali ni ku-practice modern politics of your enemy is my super friend.

- I thank my God kwa kukutana naye leo one on one at the VIP Loiunge JKN Airport, it was great kuongea naye live on ishuz mbali mbali za taifa na hasa Mabilioni ya Uswiss, nataka kumhakikishia kwamba some of us tunathamini sana mchango wake kwa Taifa bila kujali itikadi za vyama vyetu, namuombea Mungu ampe nguvu na uzima mrefu sana amalizie kazi yake kwa taifa kama anavyotaka.

-MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MBARIKI MHESHIMIWA MBUNGE ZITTO, MY HERO!!

Le Mutuz The King Of All Bongo Network Media@Blogu ya Wananchi.
 
Subiri wafitini wakushambulie. Siku hizi wanafiki, wasaliti na virusi ndiyo misemo, hakuna tena hoja wala nini!! Masuporters wanajipambanua.
 
Kuonana na mnafiki Zitto ndio u-hero? Muulize jana nilikuwa nae pale Shopperz tukipata kahawa nikambana issue ya Lema akawa anacheka cheka tu anaongea na Diva wa Cloud. Wewe na ZK ni wapuuzi wa kuwapuuza tu...
 
Ukiwa a 'HERO' to many
sometimes you wish some of your fans to just shut up...
sababu their 'praise' can also be their 'damages'...
just saying ....
 
- This is my hero, Mheshimiwa Mbunge Zitto wa Chadema. Ninawakumbusha sana wana CCM wenzangu kwamba anayoyafanya Zitto kwa hili Taifa sisi CCM ndio tuliotakiwa kuyafanya ni muhimu sana tukamuunga mkono na hasa kwenye hivi vita mpya iliyozuka dhidi yake huko kwenye Chama chake. He is our interest, kinachofanyika sasa hivi ni mbinu za kutaka kumfukuza chama that is not our interest, out interest is served well akiwa huko ndani kwa sababu he stands for true democracy ma sio siri kwamba wenye hicho chama are not ready for that, sasa kumpa support Zitto in his war sio kuvunja sheria ya jamhuri wala ya siasa, bali ni ku-practice modern politics of your enemy is my super friend.

- I thank my God kwa kukutana naye leo one on one at the VIP Loiunge JKN Airport, it was great kuongea naye live on ishuz mbali mbali za taifa na hasa Mabilioni ya Uswiss, nataka kumhakikishia kwamba some of us tunathamini sana mchango wake kwa Taifa bila kujali itikadi za vyama vyetu, namuombea Mungu ampe nguvu na uzima mrefu sana amalizie kazi yake kwa taifa kama anavyotaka.

-MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MBARIKI MHESHIMIWA MBUNGE ZITTO, MY HERO!!

Le Mutuz The King Of All Bongo Network Media@Blogu ya Wananchi.

Lazima mseme hivyo, kwani nyinyi hamwezi kuwa na Tatizo na Zitto kwa sababu Zitto sasa ameji categorize kama mtu wa kuisulubu Chadema na Viongozi wake tangu 2010 ampigie JK Kampeni, Anatumiwa na Viongozi wa CCM na hadi Vita vya Ugaidi kwa Rwakatare.

Imeshajulikana Zitto ni Agent wenu Ndani ya CCM, tunamchuza ikiwezekana kitaeleweka tu.

Kama alivyowahi kusema Mjumbe mmoja humu UKIWA VITANI NA ADUI YAKO ANAKUSIFIA JINSI UNAVYOSHAMBULIA UJUE KUTA JAMBO, Ninauhakika Chadema washachukua Precautions na Risks Zote ambazo zitatokana na Vita tunayopigana.

Hata Shibuna, Mwampamba etc Mnawakubali sana kwani walikuwa wanatekeleza mataakwa Yenu na tunaona siasa zao zinaelekea Ukingoni.

Kwa wanakigoma kutu let down sisi watanzania ni Jambo kawaida kwani hata Dr Walid Kabouru kuna kipinndi watu walianza kumwamin i lakini baadaye mkamrubuni kwa maslahi yeni mapana na akaleta zengwe na Kuhamia CCM mbona CDM ndiyo ilikuwa kuliko awali?

Nimekuja kuona ha sasa wanaaompa Zitto Kiburi ni pure CCM au waganga Nijaan na si Wanachadema wa kweli, Kwani ni jambo la kushanga kama Mwanachadema wa kweli haoni jinsi Mbowe na Slaa walivyojitolea hadi maisha yao wanawindwa usiku na mchana na Mafisadi alafu anakuja mtu kwa maslahi yake binafsi anasema haoni Mbowe na Slaa wanafanya Kazi gani.

Nenda corner yeyote ya Nchi hii uone jinsi Chadema ilivyo Tishio kwa CCM na Mafisadi kwa Ujumla ndiyo maana mbinu pekee iliyobaki ni kumhamisha ZITO kutoa chadema kwenda CCM mkidhani na wananchi watahama.

Fanyeni hivyo haraka sana na I am sure Zitto atajifunza, kitu kama hajawahi kuzomewa na kupigwa mawe watu watafanya hivyo kwania ataonekana ni Msaliti.
 
Zitto ni hero wa wenye akili na uelewa. Wewe bonge huna akili kabsa! Jaribu kucopy hata mabusara ya shujaa wa tz na afrika mh zzk.
 
muulize jana nilikuwa nae pale shopperz tukipata kahawa nikambana issue ya lema akawa anacheka cheka tu anaongea na diva wa cloud.
sasa ishu ya diva inakujaje hapa? Ulimbana ishu gan ya lema kama mwenyewe kakimbia?
 
Kuonana na mnafiki Zitto ndio u-hero? Muulize jana nilikuwa nae pale Shopperz tukipata kahawa nikambana issue ya Lema akawa anacheka cheka tu anaongea na Diva wa Cloud. Wewe na ZK ni wapuuzi wa kuwapuuza tu...

Kha! Lema na Zitto wapi na wapi, si umeona bandiko lake jana, yaani anongea kama vile hana kichwa, yaani jana ndio nimeelewa upeo na akili za Lema kumbe mweupe kabisa, kaweka badiko halafu kakimbia.
 
Zitto ni hero wa wenye akili na uelewa. Wewe bonge huna akili kabsa! Jaribu kucopy hata mabusara ya shujaa wa tz na afrika mh zzk.

kuna muda unakuwa fyatu kuna saa unajifahamu.upande mwema upande mnafiki
 
- This is my hero, Mheshimiwa Mbunge Zitto wa Chadema. Ninawakumbusha sana wana CCM wenzangu kwamba anayoyafanya Zitto kwa hili Taifa sisi CCM ndio tuliotakiwa kuyafanya ni muhimu sana tukamuunga mkono na hasa kwenye hivi vita mpya iliyozuka dhidi yake huko kwenye Chama chake. He is our interest, kinachofanyika sasa hivi ni mbinu za kutaka kumfukuza chama that is not our interest, out interest is served well akiwa huko ndani kwa sababu he stands for true democracy ma sio siri kwamba wenye hicho chama are not ready for that, sasa kumpa support Zitto in his war sio kuvunja sheria ya jamhuri wala ya siasa, bali ni ku-practice modern politics of your enemy is my super friend.

- I thank my God kwa kukutana naye leo one on one at the VIP Loiunge JKN Airport, it was great kuongea naye live on ishuz mbali mbali za taifa na hasa Mabilioni ya Uswiss, nataka kumhakikishia kwamba some of us tunathamini sana mchango wake kwa Taifa bila kujali itikadi za vyama vyetu, namuombea Mungu ampe nguvu na uzima mrefu sana amalizie kazi yake kwa taifa kama anavyotaka.

-MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MBARIKI MHESHIMIWA MBUNGE ZITTO, MY HERO!!

Le Mutuz The King Of All Bongo Network Media@Blogu ya Wananchi.

Sidhani kama kuna mwanamme Tanzania anayehangaika kujibizana na huyu William.....Tumuhache na mbes wake kwa sababu akili yake ni Huko....Sishangai akiwa rafiki ya Diva wa Clouds.....Kwa maana Diva ni mpenzi wa ZZK
 
Sure! He was our Hero the time he was your Zero but now is your Hero and our Zero!
 
Hoja hapa ni kama kweli Zitto alikataa kuchukua Posho ya shilingi 70,000 kwa kikao kimoja cha bunge kumbe wakati huo huo anachukua Posho ya shilingi 700,000 ya vikao vya kamati anayoiongoza ya PAC. Zitto kasema hachukui hizo posho wala huwa halali kwenye hoteli za kulipiwa dola 600 kwa siku. Mpira sasa uko kwa Lema kuthibitisha madai yake na kwa kuwa yeye ni mwana JF basi hakuna haja ya kumsemea bali tuamini kuwa muda si muda atatuletea ushahidi wa tuhuma zake kwa Zitto!!
 
he must be your hero as far as he is a double agent....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hoja hapa ni kama kweli Zitto alikataa kuchukua Posho ya shilingi 70,000 kwa kikao kimoja cha bunge kumbe wakati huo huo anachukua Posho ya shilingi 700,000 ya vikao vya kamati anayoiongoza ya PAC. Zitto kasema hachukui hizo posho wala huwa halali kwenye hoteli za kulipiwa dola 600 kwa siku. Mpira sasa uko kwa Lema kuthibitisha madai yake na kwa kuwa yeye ni mwana JF basi hakuna haja ya kumsemea bali tuamini kuwa muda si muda atatuletea ushahidi wa tuhuma zake kwa Zitto!!

- Kama zio Zitto nisingejua kuwa MWenyekiti wako ana majumba kila kona ya Dunia, wakati Zitto anahangaika kurudisha mapesa ya wananchi huko nje MWenyekiti wako ndio kwanza ananunua majumba ya kifahari huko nje, ndio maana anakuwa msaliti kwa chama chako maana anagusa hata mlo wa chama chake,

- MUNGU AMPE AFYA NJEMA NA UVUMILIVU ILI ATIMIZE KAZI ALIYOIANZA, BAADA YA KUONGEA NAYE SANA LEO I SALUTE HIM MORE!!

Le Mutuz
 
Wakati mwingine muwe mnaona aibu kueneza uongo. Kama babako na viongozi wenzake walizoea kuiba serikalini si kila raia anayefanya shuguli zake nchi hii anafanya huo ufisadi wenu unaoutafuta kwa udi na uvumba kuurithi kwa hizi cheap popularity unazotafuta ccm.
Mbowe ana uwezo wa kununua hayo majumba na alikuwa nayo tangu akiwa mtoto. Si babako aliyechanganyikiwa kwa mapesa ya serikali make hajazozea. Mbowe ni mfanyabiashara na ni kitu cha heri mbele ya Mwenyezi Mungu kuliko nyie mnaotubia fedha za watoto wetu wanaokosa elimu huku nyie mkiiba fedha za huduma za jamii kusomesha watoto wenu kwenye shule za binafsi mlizofanya miradi yenu kuwanyonya damu wanyonge.
Mbowe hajaiba fedha ya serikali na hata ruzuku inayolipwa CDM ni pesa ndogo tu kulinganisha na matumizi ya chama hicho hivyo huwezi kusema eti kaiba pesa za chama. Mimi ningepata wasiwasi kama asingetaja mali hizo lakini kazitaja tofauti na nyie wezi mnaotunza fedha na kununua majumba nje ya nchi na kwa kuwa mmeziiba hamzitaji. Hata huyo hero wako kama atakuwa kwenye payroll yenu pengine naye anazo huko nje lakini hawezi kuzitaja kwa kuwa hana kichwa cha kufanya biashara na shuguli zake halali kupata mali hizo. Mbowe ni jembe. Mtu anayetafuta fedha zake kwa jasho lake si kuibia wananchi fedha za hospitali, kung'oa meno ya tembo na EPA. Hata mimi natamani kuwekeza kwenye majumba nchi za nje ambako nyumba zinalipa. Si kuibia serikali ili niwekeze ila kwa jasho langu. Kama Mbowe kaweza hilo nampongeza and he is my real model.
Kwa hiyo kama Zito is your hero, he is kwa sababu kwa kiasi kikubwa mtakuwa mnamtumia kuzusha uongo ili kufanikisha malengo yenu kuibomoa CDM na kuwasha moto panapostahili kuzimwa ili chama kiendelee. Msichokijua ni kuwa CDM si viongozi wala si CDM. CDM ni mapinduzi ya kubadilisha utawala ulioshindwa. Hata ikiwa ni kweli mnamtumia huyo Zito basi mjue vuguvugu la mapinduzi haitafifishwa wala kupotoea njia hata mngeweka Zito 10 na CDM ikawa na Lema 10. Zito ni mbomoaji wa chama kwa tamaa zake mwenyewe na Lema ni mbomoaji wa chama kwa upumbavu wake anaodhani ni werevu. Wote hawa wahafai na nguvu ya umma itawang'oa tu muda ukifika.
Na kwa kiasi kikubwa Zito is not even your hero but just your stupid head ambaye unaweza ukampamba kwa ujinga akavimba kichwa ili kuaribu chama chake mbaki mnacheka na kuendelea na uovu ccm inaoutendea nchi hii. Wakati huo ndipo Zito atakapojua he is not a hero but your zero.
 
Back
Top Bottom