Why Men Sometimes Do Not Call You After Sex

Pamoja....kama umenipata m glad ila ndo uache kumchokoa shem hapo kila kukicha gubu kama mke mwenza hiyo mambo inatubuoa wanaume wengi sana (as per discussion na wadau) so unam-expose kwa vishawishi.......na kama ni hlka yake basi ndo umempa schengen visa

I am so lucky Olesaidimu katika hilo... To the extent am confident enough to say kuwa daima sinaga gubu. Na mimi katika mapenzi na mahusiano yake, naamini sana kuwa it is the one entity ambayo mtu anatakiwa kuwa na amani sana. Kuwa haijalishi nipo ni what situation or mood mpenzi wangu ndio mtu ambae naweza rely on katika kuweza nifanya nina amani na furaha. Hio amani yangu inanifanya niweze jitahidi kufanya mpenzi wangu pia anajisikia hivo kila mara awapo na mimi... Ni wanadamu kukwazana kupo, but we learn and become stronger from that.

Hivo kama akitoka akawa na mwanamke mwingine hatikuwa sababu ya gubu langu, hatakuwa sababu simjali, haitakuwa sababu simpikii chakula kizuri, haitakuwa sababu simpendi, wala haitakuwa sababu am not cooperative in sex... Itakuwa sababu kuna manamke mwengine huko kamuona na kamtamani na anataka ampate for whatever personal driven reason.
 
Mwanamke " Mbona Hujanipigia simu?

Mwanamme: Unajua simu yangu ilidondoka Mwenge, nikaenda Mlimani City kutafuta mpya lakini hawakuwa na niliyoitaka, nikanunua ya Mchina kwa muda tu, basi ile simcard yangu mpya ya kutoka Dubai ikawa haijafit basi nikaenda kutafuta line mpya lakini nikajishtukia sina ID, nikafikiri inawezekana nimeisahau nyumbani kwa hiyo nikarudi nyumbani.

Mpaka sasa sijaipata ID, naona nayo inawezekana nimeidondosha na simu.

Hapa nilipo nataka kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi.
Hahahahaaa hiki kisa kimenifurahisha kweli nikakumbuka stori moja ya kitambo kidogo, jamaa alikuwa na mpenzi wake ambaye alikuwa anajulikana pale alipokuwa anaishi. Sasa siku moja akaruka na kimada na akakileta nyumbani. Bahati mbaya mpenzi wake naye akaja wakati jamaa yuko ndani na kimada wake. Kufika ikabidi washkaji wake jamaa wamzuge zuge ili asiingie chumbani lakini ye akawashtukia akawa analazimisha kuingia.

Sasa nyumba yenyewe ni zile ghorofa za kariakoo za kizamani so unawezatokea dirishani ukaibukia kwenye familia ya pili, kumbe yule mpenzi wake anaijua hiyo so akaenda kule ambako alijua akipitia dirishani atatokea. Lahaula wakakutana uso kwa uso na mpenzi wake mpenzi wake akaanza kulalamika kwanini anamsaliti. Jamaa akakaa kimya kwanza then akaibuka na hii

"Yaani kuonyesha kwamba ninakupenda na kukuheshimu mpaka nimeruka dirishani imagine ningeanguka huko je? Basi bwana kama huoni yote hayo basi kuanzia sasa sikutaki tena" Jamaa huyo akampita akataka kwenda zake, binti si ikabidi aanze kubembeleza tena asiachwe.............
 
I am so lucky Olesaidimu katika hilo... To the extent am confident enough to say kuwa daima sinaga gubu. Na mimi katika mapenzi na mahusiano yake, naamini sana kuwa it is the one entity ambayo mtu anatakiwa kuwa na amani sana. Kuwa haijalishi nipo ni what situation or mood mpenzi wangu ndio mtu ambae naweza rely on katika kuweza nifanya nina amani na furaha. Hio amani yangu inanifanya niweze jitahidi kufanya mpenzi wangu pia anajisikia hivo kila mara awapo na mimi... Ni wanadamu kukwazana kupo, but we learn and become stronger from that.

Hivo kama akitoka akawa na mwanamke mwingine hatikuwa sababu ya gubu langu, hatakuwa sababu simjali, haitakuwa sababu simpikii chakula kizuri, haitakuwa sababu simpendi, wala haitakuwa sababu am not cooperative in sex... Itakuwa sababu kuna manamke mwengine huko kamuona na kamtamani na anataka ampate for whatever personal driven reason.

Tell U what? you're MEGA SMART upstairs.
 
Dah BlackBerry inakuwaje kama ndio mara ya kwanza mnaperform pamoja? Maana kumekuwa pia na ile dhana ya kuficha makucha on the first day
kwani perfomance inahusika nini na makucha, kuna vitu ambavyo unaweza mfanyia mpenzi wako hakusahau kamwe, wanabakia tu kusema mbona yule mkaka mzuriiii kamng,ang,ania msichana kwa sura si kiviiile wala mvuto hana
 
vipi hivyoo?
 
Yaani hiyo next day call ndo kila kitu kwa mwanamke,hata kama unampenda kiasi gani dont make that call may be mpaka the following day,
 
Yaani hiyo next day call ndo kila kitu kwa mwanamke,hata kama unampenda kiasi gani dont make that call may be mpaka the following day,
Mie sipigi simu wala nini,kama nimewaka atanikuta mlangoni, siku hizi hii rule imepitwa na wakati, unatakiwa ukutane nae mara kama tatu, then atakuwa kanogewa ndio utingishe kiberiti sasa, na ole wako ukute kimejaa utajuta
 
kwani perfomance inahusika nini na makucha, kuna vitu ambavyo unaweza mfanyia mpenzi wako hakusahau kamwe, wanabakia tu kusema mbona yule mkaka mzuriiii kamng,ang,ania msichana kwa sura si kiviiile wala mvuto hana
Kwa heshima na taadhima bi mkubwa naomba unidokeze hivyo vitu jamani
 
Wanaume wa aina hiyo ni wale eat and run.
He can't call coz anakuwa ameshapata alichotaka.
 
sote tunafahamu kuwa mwanaume akiwa anaomba mikono huwa nyumba, maneno matamu matamu, ahadi kibao, n.k lakini akishapata nanii, kaa ukijua imetoka hiyo ikirudi pancha... sasa hili la kukupigia simu baada ya kumpa naninii nadhani uiote tu kama ndoto ya saa tano asubuhi.
 
In most cases mwanaume kulala na mwanamke mwingine (yeye kuwa in a relationship ni moja ya weak reasons ya kuto lala na mwanamke mwingine kwa walo wengi). Mie naona in most cases it has to do na tendo lenyewe lilikuwaje. Kama mmefanya SEX na ni mind and body blowing sex, simu yake ikiharibika atachukua tu ya rafikiye akutafute. Kama ana mtu wake atajitahidi kupanga ratiba zisigongane kabisa (yaani rules zote za kitabuni za players zitawekwa hapo).

Kama alilala na wewe akakuchukulia tu ni trophy na akakuta sex ya kawaida basi ujue hawezi kutafuta tena... But believe me you kama the sex is extra wonderful than normal, he will be back for more... Atleast hivo ndio naamini.

M'Jr habari ya siku?

he heheheh Madame asante sana kwa huu mchango ..siku zote uko makini
Mie nimejikuta natabasamu tu Kaunga hope uko ok kabisa na maisha yanakutreat good
 
Last edited by a moderator:
ashaDiiiiiiiii!!!!!
That is sweet of you dear... I am humbled. Daima nipo open to discussions... Napenda sana kupata angles tofauti na yangu in such matters sababu inanipa nafasi ya kutafakari kama ambalo najua na kushikilia ni the absolute right or not. Haiwezekani kuwa kila ambacho kila mmoja ajua ndio kweli... Haya mambo ni kujuzana na kuongeza ujuzi tokana na mijadala.

Thanks for the acknowledgement... Infact it feels really good to be back.
 
2. YOU WERE ONLY A TROPHY: For many men it is still very important that they are able to brag to their male friends about the number of women they slept with. Sadly this has been and will always be the case. If you do not receive a phone call from him, check with your friends if any of them happens to know him. You will soon find out whether he is the sort of man to whom a woman represents only a number with which he can brag around.
4. HE ALREADY HAS A GIRLFRIEND OR WIFE: These are our favorites, right? Of course, another possibility is that the guy has a perfectly nice girlfriend or a wife waiting for him at home to come back into her arms, while he fancies a bit of romance with someone else. You may expect to hear from such a man again but only when he fancies his bit on the side.

.
These are the only Strong Points, the rest unajaribu kujipa Moyo tu
 
he heheheh Madame asante sana kwa huu mchango ..siku zote uko makini
Mie nimejikuta natabasamu tu Kaunga hope uko ok kabisa na maisha yanakutreat good

I am fine my dearest, life is fair l have no right to complain. Sijapenda sana kuchangia uzi huu na nimekuwa msomaji tu ili nielimike zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom