Some men but narudia some,ni magumegume kitabia,wanastyle ya 'chapa ilale', haijalishi au heart touchn the sex was, the word enough' is no longer in their dictationaries,so anajijua he belong somewhere,so wanaogopa mo'commitments!
So atajitaftia sababu wee,hakutafuti but kama ulimfurahisha anakuwa amekuweka akiba, siku ya siku nowonder akajirudi,akutumie tena,.ogopa kabisa!
Olesaidimu how are you broda?!
Hivi hebu nisaidie kidogo, nje ya usafi, utundu na vionjoo (ambavo naamini kabisa na the wife anakuwa navo); ni kitu gani ambacho hufanya sex uone ni tofauti na yule ambae unaye tayari? Na kama unaye tayari na haupo tayari kumuacha ni kwa nini kama usha onja huyo mtu usimuache uendelee na maisha yako badala ya kuwa dabo major? (Nataka hii from a mans perspective nione kama natambua tofauti ama sawa)
Dah BlackBerry inakuwaje kama ndio mara ya kwanza mnaperform pamoja? Maana kumekuwa pia na ile dhana ya kuficha makucha on the first dayNdio maana inatakiwa umpigie shoo ya nguvu, akitoka hapo kila akikuwaza anacheka na kutingisha kichwa, jitahidi kufanya crazy staff ambazo za kijinga lakini ndio most of time huwa wanazikumbuka wakiwa peke yao,si mnawasikia ofisini wakisimulia? toa shoo ya nguvu hakuna kuremba
Mie naamini hadi watu mkaanza kubembelezana kufanya mapenzi ina maana mpo mazingira ambayo yanatoa nafasi na uwezekano wa kufanya mapenzi na kamba hayo mahusiano ni more than urafiki wa kawaida. In the sense kuwa there is some chemistry between/among you.
Bahati mbaya sana mara nyingi wanawake wengi tumejenga tabia ya kujifanya hatutaki sex hata kama tunataka Yaani unaona bora ubembelezwe na ukikubali kirahisi utaonekana ni mrahisi (hii kasumba ya ajubu sana inakuwa kama ulipo kubali hukujua kuwa mta sex); Kwa upande mwingine sio ajabu kubembelezwa hadi you give in.
Hamu ya ngono ya mwanaume na mwanamke tofauti sana. Mwanaume mara nyingi yupo tayari kufanya sex wakati wowote hali kwa wanawake circumstances inabidi ziwe right. Hivo kama unashangaa hilo hata mimi unanishangaza @Bukyanakandi
Swala la kusema kuwa tupo wired tofauti... That is a fact. Maumbile ya mwanamke yanaruhusu kuingiliwa hata kama hana hamu ya mapenzi hali mwanaume haiwezekani. Hadi hapo tupo wote au bado ufafanuzi zaidi wahitajika?

Dah BlackBerry inakuwaje kama ndio mara ya kwanza mnaperform pamoja? Maana kumekuwa pia na ile dhana ya kuficha makucha on the first day
M fine my dada.....missed you sana sisy
Mhh dada we unataka kunianika.......
1. Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia yeye hudate out kwa kuwa mkewe ni slender so he always go out for chubby quickies na hii imekuwa hivyo kwa muda sasa.....so hapo ni subjective mental constructionism
2. Though not limited to....conflicts na haswa ujeuri wa mawifi zako hupelekea mume kuwa na affair nje ....hapa sasa ni kama exit valve ili maisha yaende na kulea watoto (ingawa haina maana...as wengine wanasema ni unafiki) ila ukikaa na marafiki na ku discuss oftenly this is being opined as a major reason
3. Hulka tu na male chauvinism.......in here brought as ....trophy phenomenon
I stand to be corrected.......and complemented as well if I deserve
Interesting topic. Aksante Baba Mtambuzi.
Olesaidimu kama ilivo science ndio ilivo Sex na mahusiano, You just don't get to finally graduate kuwa wewe ni mjuzi sasa endelea na maisha kila kitu kipo simple and clear.... lol
My dear in blue, hakika sijakuelewa... Unamaanisha nini? Kuwa wifi zangu watamsukuma kaka yao awe na mwanamke nje na hio ina play part kwa kiasi kikubwa? Really? Nirudishe katika ulimwengu wa kutambua please... hahaha.
I am humbled you missed me, I am glad to have seen you.
Dada AD nawe banaa;
Hapo blue ni kama hapa you as my sis....mke wangu anakuwa wifi yako; sasa akinitibua huku home na ikawa hii kero imekuwa ya kudumu na anaota mapembe....then blue ndo huja na date nje just to let the accumulated pressure off.....no strings attached there after....no calls nao sms
Mwanamke " Mbona Hujanipigia simu?
Mwanamme: Unajua simu yangu ilidondoka Mwenge, nikaenda Mlimani City kutafuta mpya lakini hawakuwa na niliyoitaka, nikanunua ya Mchina kwa muda tu, basi ile simcard yangu mpya ya kutoka Dubai ikawa haijafit basi nikaenda kutafuta line mpya lakini nikajishtukia sina ID, nikafikiri inawezekana nimeisahau nyumbani kwa hiyo nikarudi nyumbani.
Mpaka sasa sijaipata ID, naona nayo inawezekana nimeidondosha na simu.
Hapa nilipo nataka kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi.
hahaha! Hapo nimekupata sasa... Na hio sababu ni universal to most I think.... Thanks broda!!