Why many Tanzanians don’t support their President

Kweli ujinga mzigo wa msumari...hii yako ni sawa na kuwaambia Wakorea wamfungulie kesi Kim Jong-un! Au kuwaambia Waganda wamfungulie kesi Yoweri Museveni! Au kuwaambia Warwanda wamfungulie kesi Paul Kagame!
 
Individuals inside CCM have made a big progress
 
Twaweza huwa wanafanya tafiti nyingi Sana za kijamiii ambazo mwisho wa siku wanasema ni matokeo ya watanzania.labda nikuulize umeshawahi kukutana nao hata Mara moja wakakuhoji maswali yao?
Mi hata ofisi yao siijui iko wapi
 
Mkuu usipotoshe hakuna mtanzania ambaye hamuungi mkono mh. Rais bali tunatofautiana namna tunavyomuunga mkono.
Wako wanaomshangilia kwa mapendo lakini wako wanaomshangilia alimradi yao yaende.
Wako wanaosifia bila kujali matokeo huku wengine wakikosoa na kuhoji kasoro wanazoziona ili tupate kilicho bora zaidi... nk.
 
Bitter truth kwa mavuvuzera wake
 
Kwa hiyo twaweza waliposema Magufuli anapenda kwa 90% ilikuwa sawa. Ila iliposhuka hadi 50% wakawa wanafadhiliwa na mabeberu?
Watajigamba sana kwa maendeleo lakini bila proper urban planning au urban settlement planning hakuna maendeleo,
Wanasiasa wa vyama vyote wanasahau kuwa na Sera mathubuti ya urban settlement.
 
Wanaomkumbali wamegoma kujiandikisha kukiunga mkono chama chake, mpaka kulazimisha watumishi, wanafunzi, navitisho kwa wananchi
 
Sawa, mheshimiwa Magufuli anakubalika sana miongoni mwa Watanzania. Lakini maajabu ni kuwa ili ashinde yeye na/au watu wake lazima iandaliwe mizengwe ya wizi wa kura? Anayekubalika kwa nini ategemee kushinda kwa hila? Kifupi ni kuwa hakubaliki na ni ushabiki tuu unao pigiwa propaganda
 
Tumia kiswahili tu mkuu hiyo lugha ya mabeberu huiwezi... eti he used heavy police during the interim elections...." hahahaha
 
Nipo Kigoma ndani ndani huku kalinzi nipo huru kabisa kumuongelea Magufuli na CCM na wananchi wananisapoti kabisa...tutaonyeshana tu 2020.

Mbaya zaidi wanajua na kuamini kuwa ukimpinga Magufuli unapinga maendeleo hii maana yake nini ujue ukikaa nchale ukisimama nchale.
 
Nawe tunakujua kuwa ni mpuuzi wakati wa JK ulimuita dhaifu, sasa Magufuli unamchukia kwa vile siyo dhaifu. Kafie mbali
 
best comment mkuu...
ukimchukia unapoteza energy bure..
sifu jema.. kosoa baya... maisha yaende
 
Je mkuu naakiamua kuweka mizizi itakuweje ?utavumilia hivyo hivyo?
 
jamii forum has only 500K members, downloads doesnt mean total members: you can download an app twice or even more than this
Mimi sijasema downloads inamaanisha idadi ya members... Kuna watu ni wasomaji tu wa yanayoandikwa humu so wao kuwa member wanaona si muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…