McCarthy
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 506
- 552
Achukiwe kwa lipi huyo?Magufuli hapendwi na 85% ya Watanzania, wewe upo Kwenye kundi la mambumbumbu wachache wanaompenda, umeshindwa kujenga hoja ya msingi kumjibu mtoa mada unakimbilia kusema anapendwa tu, apendwe kwa lipi huyo