Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,789
- 4,828
How did you counted hicho ni kiringalaHow did you counted them?
How did you counted hicho ni kiringalaHow did you counted them?
. He holds grudges deep in his heart, cannot let go and therefore does not have true friends. We’ve seen what he did to Yusuf Manji, Mohamed Dewji and others. He claims to have ‘forgiven’ Nape and yet mentions the issue over and over again.
Mimi naamini Magufuli hapendwi na hata yeye anafahamu hili.
10. The numbers don’t lie. Tanzanians are poorer than they were in 2015. Look at official NBS data.
There’s a lot more. But these should suffice for now.![]()
Sasa hii logic imekaaje? JF ina takribani watu laki sita, hata hivyo bado kuna wanaomsapoti Raisi(tuseme sawa), kwa hiyo au therefore wasiomsapoti raisi ni 1 tu (khaa hapa ndio nimeachwa hoi) ambaye ni wewe (PseudoDar186). What a great thinker.Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
Tanzania (serikali) pia hufadhiliwa kwenye mambo kadha kwa mantiki yako basi nayo lazima ilambe miguu ya mabeberu?Twaweza wanafadhiliwa, hivyo lazima walambe miguu ya mabeberu(wafadhili wao), ambao ni maadui wa dola ya Tanzania, ili kuwafurahisha.
Kwani Membe alishindana peke yake na Magufuli 2015? Kumbuka list yote walikuwa 42 jumla, na hawakuitwa kujieleza kwa wajumbe na hawakuchaguliwa na wajumbe wa mkutano ule, bali kikundi cha watu wa 3. Na wote hakuna anayeshirikiana naye.According to the poll by Membe?
Therefore he is a hypocriteMembers of this forum,
Here are a few reasons why an overwhelming majority of people in Tanzania don’t support their President:
1. He has demonized the opposition in Tanzania by labeling them as enemies of his establishment and development. Truth is, the opposition can not touch his establishment or stop him from doing what he wants. They don’t hold majority in the Parliament nor any position in government.
2. He is sadistic and relishes on the suffering and pain of others. Remember he went quiet when devastating earthquakes hit Bukoba and when he spoke, he said in public that the people of that region somewhat caused the earthquakes. A true leader would comfort his people in suffering.
3. He prefers to keep the country in the dark on matters that would not score him political points, and blow his trumpet on matters that would give him cheap votes or make the opposition look bad. Consider the seizure of the Bombadier back in 2017. The country discovered this through the opposition. Why wouldn’t he issue a press statement saying the Bombadier was seized and the government is working hard to get it released?
4. He’s not clean himself and yet pretends to be squeaky clean. He sold off government owned houses for cheap. He bought a used ferry which ended up not working and later transferred it to the army. He has frustrated the CAG by drawing funds from the National Treasury to the State House and Intelligence Services to avoid scrutiny.
5. He believes that his own view of what is good and should be prioritized by the country is absolute, perfect and should not be questioned by anyone in the country. This has led to many pet projects, silly blunders, decisions that don’t make sense and destroying people’s lives for no good reason.
6. He treats his wife with contempt and in public. It is utterly disgusting to see the way he speaks to his wife and the kind of statements he makes with his wife around. He recently joked about dancing with the PM’s wife but couldn’t because the PM was known to be jealous. What kind of leader does this? These things should be left to the low lives.
7. He holds grudges deep in his heart, cannot let go and therefore does not have true friends. We’ve seen what he did to Yusuf Manji, Mohamed Dewji and others. He claims to have ‘forgiven’ Nape and yet mentions the issue over and over again.
8. He openly spies on his ministers and other appointees. He also spies on members of his own party! No true man spies on his fellow man unless there is something wrong with his head. He never condemned the release of recorded conversations from Nape, Makamba, Membe etc. By accepting apologies from these individuals, he has openly condoned spying in the country. It’s pathetic.
9. He is a hypocrite. For his 20 years plus as Parliamentarian and Minister and other top positions in government, he has never walked out due to corruption in the country. He has never never said a word against his party or government or leaders for not doing enough to weed out corruption. All of a sudden he wants us to think he is anti-corruption. Pure bollocks.
10. The numbers don’t lie. Tanzanians are poorer than they were in 2015. Look at official NBS data.
There’s a lot more. But these should suffice for now.
The President knows that no one supports him and his party. That’s why he used heavy police during the interim elections and will do the same in 2020. He believes he is the best president Tanzania ever had, why not have a fully independent NEC and a fair open ballot as a litmus test for his support? If that is true, wouldn’t millions of Tanzanians vote for him? He is scared of the electorate.
Good evening.
January Makamba, vivyo hivyo, alimvizia mpaka kampatia kosa la kumfukuza.
Hata angekufa kweli CCM ndio wangefurahi zaidi kuliko hata CHADEMA, kwa sababu unazozifahamu wewe
Mkopo wa January ni wake binafsi, na kila mkopo una masharti yake sio kwanini January akamuangukie JPM kwa sababu ya mkopo. Hivyo unataka kusema JPM kamsamehe January asilipe mkopo ule? au alimuangukia ili asimfukuze?.Unajua kuwa January Makamba alichukua shs Billion za wafanya kazi pale Nssf kutaka URAIS? Fedha zile zimeleta madhara makubwa sana kwani wafanya kazi wengi hawapati stahiki zao kutokana na shirika kukosa pesa; January ameshindwa kurejesha ikiwa ndio sabubu kubwa kwenda kumuangukia JPM! January na Dau wanatakiwa kuwa jela badala ya huko waliko hivi sasa.
Membe sio aliyebaki peke yake kati ya wale waliotaka kugombea!! Mbona alikuwepo Asha Rose na pia Amina Salum Alli?
Naona kwa makusudi umeamua kuhama uzi au unajitoa akili. Uzi huu unauliza kwanini watanzania wanamchukia JPM. Hayo ya Membe kuingia kwa mgongo wa Kikwete ni yenu huko huko CCM.Membe na genge lake are giving themselves some phsycological food kuwa iwapo JPM ataondoka wao wana uhalali wa kumrithi hence hizi series za tamthilia za Membe kutumwa na Kikwete kwenda kwa Mwalimu!
CCM haiwezi kuruhusu Kikwete arudi madarakani kupitia mgongo wa Membe ili hali record chafu ya utawala wake bado ni fresh miongoni mwa wananchi.
Kweli ujinga mzigo wa msumari...hii yako ni sawa na kuwaambia Wakorea wamfungulie kesi Kim Jong-un! Au kuwaambia Waganda wamfungulie kesi Yoweri Museveni! Au kuwaambia Warwanda wamfungulie kesi Paul Kagame!
Mimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na idadi ndogo iliyomtandaoni hapa. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.
Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
Mimi ndio maana nimeamua wacha nimsaport tu nitafanyaje? hata kama hautampenda he still our President!
Mambo ya kujipa Presha ya nini tutulie amalize muda wake ataondoka kwa amani.
Pale anapokosea tumkosoe, tumpe ushauri maisha yaendelee.
Mihemuko haitatusaidia wote mnajua tulivyo na katiba mbovu.
Mkuu hapo kwenye kumkosoa na kumpa ushauri awamu hii inatafsiriwa kama " kumchukia na kumpinga". Kuna wa tz wenzetu wamepotea, wameumizwa, wamesukwasukwa/wanasukwasukwa kutokana na hiyo missnomer.Mimi ndio maana nimeamua wacha nimsaport tu nitafanyaje? hata kama hautampenda he still our President!
Mambo ya kujipa Presha ya nini tutulie amalize muda wake ataondoka kwa amani.
Pale anapokosea tumkosoe, tumpe ushauri maisha yaendelee.
Mihemuko haitatusaidia wote mnajua tulivyo na katiba mbovu.
How did you count themHow did you counted them?
Kwani Magufuli aliingia kwa mgongo wa nani, Si huyo huyo kikwete? Au nyie ndio wale Mkisha vuka daraja mnaling'oa ili mwingine asije kulitumia kuvuka?
Hahaha unajidanganya wewe mwenyewe, lakini tunaufahamu ukweli, Magufuli asinge penya bila huyo unaye mtukana sasa, lakini ni kawaida huko, kung'oa madaraja mkiisha vuka mto.Magufuli hajawahi hata siku moja kuwa chaguo la Mkwere; kwenye mtifuano wa 2005 mkwere alipandikiza watu wake watatu akiwemo Membe na Wote wakazama!!!! Sasa wanatafuta njia nyingine ya kurudi kuja kuhujumu nchi na mkwere kuwajenga watoto wake kwa siku za mbele!!!
Kueleweka huku umeandika Grammar MBOVU ni aibu sana..Mbona wazungu wamenielewa..vipi nyie wajuaji ndo mnajifanya hamuelewi