Why many Tanzanians don’t support their President

Why many Tanzanians don’t support their President

Unafahamu namna ambavyo tafiti huwa zinapikwa?

Matokeo mengi ya rafiti za mashirika binafsi hupikwa na taasisi inayofanya utafiti. Lengo kuu ni kuleta athari fulani kwa jamii na uelekeo fulani ili kufanikisha malengo ya taasisi husika na mabeberu(wafadhili wake). Lobbying!

Twaweza wanafadhiliwa, hivyo lazima walambe miguu ya mabeberu(wafadhili wao), ambao ni maadui wa dola ya Tanzania, ili kuwafurahisha.

Nakubali kwa kiasi kidogo. Ni kweli kwamba mtu akikufadhili, kwa asilimia fulani lazima ufanye atakachokwambia.

Sasa, kama hiyo Twaweza hatuiamini. Na NEC/ZEC vipi? Angalia uchaguzi zilizofanyika 2017 na 2018? Hakuna kupika matokeo?
 
Sijawahesabu. Ila soma report ya Twaweza. Asilimia ya watu wanaomkubali ilishuka kutoka 90% mpaka 50%.
Twaweza huwa wanafanya tafiti nyingi Sana za kijamiii ambazo mwisho wa siku wanasema ni matokeo ya watanzania.labda nikuulize umeshawahi kukutana nao hata Mara moja wakakuhoji maswali yao?
 
Jamii forums ina downloads zaidi ya million. Bado mutandao mingine ya kijamii.
Mimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na idadi ndogo iliyomtandaoni hapa. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.

Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
 
Unafahamu namna ambavyo tafiti huwa zinapikwa?

Matokeo mengi ya rafiti za mashirika binafsi hupikwa na taasisi inayofanya utafiti. Lengo kuu ni kuleta athari fulani kwa jamii na uelekeo fulani ili kufanikisha malengo ya taasisi husika na mabeberu(wafadhili wake). Lobbying!

Twaweza wanafadhiliwa, hivyo lazima walambe miguu ya mabeberu(wafadhili wao), ambao ni maadui wa dola ya Tanzania, ili kuwafurahisha.
Kwa hiyo twaweza waliposema Magufuli anapenda kwa 90% ilikuwa sawa. Ila iliposhuka hadi 50% wakawa wanafadhiliwa na mabeberu?
 
Hata nyumbani lazima uwasikilize hata kama wewe ndiyo mtoa hela, watoto hawakawii kukupa jina ati Mzee wa Busara anaingia.. hawakawii wote kutimkia vyumbaniii...!!! Unabakia sebureni unacheki TBC 1 alone.
 
Ameleta umaskini
FB_IMG_15720112203415402.jpeg
 
Mimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na idadi ndogo iliyomtandaoni hapa. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.

Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
Magufuli hapendwi na 85% ya Watanzania, wewe upo Kwenye kundi la mambumbumbu wachache wanaompenda, umeshindwa kujenga hoja ya msingi kumjibu mtoa mada unakimbilia kusema anapendwa tu, apendwe kwa lipi huyo
 
Asante.
Anatumia jf yenye watu laki 5 na karibu wote wana id zaidi ya moja.
 
Magufuli hapendwi na 85% ya Watanzania, wewe upo Kwenye kundi la mambumbumbu wachache wanaompenda, umeshindwa kujenga hoja ya msingi kumjibu mtoa mada unakimbilia kusema anapendwa tu, apendwe kwa lipi huyo
Umetumia kigezo kipi kusema hapendwi? Hisia zako au jf? Kafanye utafiti mitaani.
 
Bahay mbaya sana hiyo report haikukukwambia sabab za kushuka kwa aslmia zao

Unataka fisad seth, rugemalila na watu wao wa karibu wampende maguful???

Unataka watanzania waliokuwa wanafanya kaz acacia na watu wao wa karibu wampende maguful???

Unataka kinana, makamba,ngeleja, na watu wao wa karibu wampende maguful???
Sijawahesabu. Ila soma report ya Twaweza. Asilimia ya watu wanaomkubali ilishuka kutoka 90% mpaka 50%.
Let us Be Analytics!
 
Thanks buddy. I was hoping you’d respond to the issues raised and not launch an ad hominem attack on me.
I think, from the contents of your argument, my discernment capacity dictates that, the same charges towards someone's person, the person of the president. It is grounded on nothing but what I too should have no other nomenclature but "argumentum ad hominem" ab initio.

Castle built on sand
 
I will not indulge in all u said here, but on one thing you are totally wrong.

The Ruling Party is still the most popular party in the country, please lets not hide our heads in the sand.

The Opposition needs to do alot to dislodge CCM from power.
 
Back
Top Bottom