Why kokoro imewah 1mil view kuliko Muziki ya darasa

wanaoongoza kwa kuwaongezea views wcb ni timu pinzani wimbo ukitoka tu wenyewe ndio wakwanza kuuangalia ili wapate kitu cha kukosoa mpaka wanajikuta wanaangalia hadi mara 10 lakini hawapati kitu cha kukosoa chakushangaza ndio wakwanza kusema wcb wananunua views Hahahaha
 
Wakuu achaneni na kelele za mitandaoni, siku hizi muziki uko wazi kwa kila mtu kujua nani ni nani na kipi ni kipi, MUZIKI NI PESA,KWAHIYO ANAYEPIGA PESA NYINGI NDIO MWENYE MUZIKI MZURI,Kanuni hii hapa ukibisha lete hoja zako. Kama muziki wako mzuri >>>> utakuwa na mashabiki wengi >>>>utauza sana na utapiga shoo nyingi >>>> ACCOUNT YAKO ITAJAA MIHELA,SIO UNAAMBULIA VITUKO VYA MADEREVA WA DALADALA WALIOPIGA VIROBA AMBAO HATA MKITO.COM HAWAIJUI WAKANUNUE KAZI YAKO. ( KUMBUKA, MSANII WIMBO MZURI KWAKE NI ULE ALIOINGIZA MIHELA,HIZO NYINGINE KELELE. )
Very true
 
najalibu tu kuwaza kwa sauti, kama darasa angekuwa na management kali kama wcb angepiga huenda hela si mchezo.
lakini nadhani inabid wasanii wajifunze umuhimu wa kuwa na management nzur
 
Wakuu achaneni na kelele za mitandaoni, siku hizi muziki uko wazi kwa kila mtu kujua nani ni nani na kipi ni kipi, MUZIKI NI PESA,KWAHIYO ANAYEPIGA PESA NYINGI NDIO MWENYE MUZIKI MZURI,Kanuni hii hapa ukibisha lete hoja zako. Kama muziki wako mzuri >>>> utakuwa na mashabiki wengi >>>>utauza sana na utapiga shoo nyingi >>>> ACCOUNT YAKO ITAJAA MIHELA,SIO UNAAMBULIA VITUKO VYA MADEREVA WA DALADALA WALIOPIGA VIROBA AMBAO HATA MKITO.COM HAWAIJUI WAKANUNUE KAZI YAKO. ( KUMBUKA, MSANII WIMBO MZURI KWAKE NI ULE ALIOINGIZA MIHELA,HIZO NYINGINE KELELE. )
Umemaliza kila kituu. Nyingine ni story tuu
 
Nahisi ngoma ya darasa inatrend sana hapa Tanzania ila kokoro inapata views wengi kwa sababu ya mazoea ya watu wa hapa nchini na nje ya nchi kuangalia kila nyimbo ya WCB inapotoka so views cyo kipimo cha nyimbo kuwa kali
 
Naona watu wanapita pembeni mwa ukweli!!jibu ni kwamba diamond na wenzie wanaiba views YouTube ova!!
 
Hahahahahahahahaha jamani najaribu kufwatilia kwa mbali na kwa karibu hizi hit track mbili yani kokoro ya mavoko na muziki ya darasa, sasa kuna kitu kinanishangaza kokoro imetumia siku 10 kufika 1 milioni view wakati mpaka sasa muziki ina siku 15 lakini haijafikisha 1 milioni view.

Pia hizi nyimbo zinapisha siku moja kutoka yani moja ilitoka tarehe 22 nov na ingine tarehe 23.

Uchawi upo jamani, nyimbo ya Darasa imekuwa namba moja katika trending music tz you tube zaidi ya wiki moja, lakini kokoro hata top teni ya trend haipo lakini inamkimbiza view muziki wa darasa,

jibu ni moja tu nyimbo ya mavoko inaangaliwa sana na sehemu mbalimbali duniani ila nyimbo ya mziki inaangaliwa sana tanzania, so kiufupi watanzania wengi wanaiangalia sana muziki ya darasa kuliko wanavoiangalia kokoro ya mavoko conversely Dunia inaiangalia sana kokoro kuliko inavoiangali muziki ya darasa.

All in all , Hizi track zote ni kali, japo moja ndo imeingiza pesa nyingi kuliko ingine yani kokoro imeuza sana.

Nataka maoni ya watu kwanini nyimbo inatrend lakini inashindwa kuipita view nyimbo ambayo haitrend. Au you tube wanaupendeleo, kwani you tube ni ya clouds, jamani tuchangangie maoni, mimi ni Team Tanzania
Huyo tunamjua ni mtaalam wa kununua viewer,full stop
 
Back
Top Bottom