Why I Will Go To Ethiopia!

Why I Will Go To Ethiopia!

Nilishambahatisha mmoja wao, lohhh!!!! Sisemi zaidi.

Kengine haka hapa wanakatumia akina 50 Cents kwenye Videos, Lola Luv na Mpwa wao Lionel Richie.

Lloyd-Banks--Lola-Luv-psd17168.png
images
lionel+richie.jpg
 
Laiti ungejua wanavyojiona kama si waafrika wala usingepoteza muda wako kuwaona wa maana. Ungejua wanavyopenda vitu kuliko utu wala usingefuja mapenzi yako mwanangu. Ungejua wanavyoweza kufanya lolote ili wafike Ulaya hasa Marekani hata kwa mme kumtoa kwa mtu atakayemuingiza huko na akishafika akamuacha na kumleta mumewe wala usingefuja upendo wako. Leo baba yenu sisemi mengi. Ila hawa jamaa na wasomali tena ambao ni weusi kuliko hata wasambaa nao wanajifanya si waafrika.
 
Mkuu Father of All, hakika umenena. Digrii yangu ya pili nimesoma na waethiopia. Kulikuwa na wavulana wawili na dada wawili. Ni kweli kabisa kwamba ndoto ya muethiopia yeyote aliyesoma ni kuishi Marekani. Nilijiuliza sana mpaka leo sijapata jibu ni kwa nini waethiopia wanaipenda sana Marekani. Najua Marekani ni nchi iliyoendelea na ina mazingira mazuri ya kuishi lakini why it is so special for ethiopians!!!!!

Ukimwoa binti wa kihabeshi na katika pitapita yake akikutana na mwabaume atakayemhakikishia kwenda Marekani, basi hapo huna mke.

Panoja na hayo mapungufu, nakubaliana na ukweli kuwa watoto wa kihabeshi na wazuri na wana mvuto sana wa kimapenzi.
 
Mi naona Tanzania as taifa tungeingia mkataba wa kilimo kwanza na hawa jamaa ili angalau na sie kama sio wajukuu zetu wanufaike! Waletwe watoto wa kihabeshi kama 1000 hivi wasambazwe kila kona ya nchi :becky::becky::becky: Au mnaonaje wakulu?
 
Mungu anajua kufinyanga bwana, daaah! Unaweza kukufuru...
 
mbona kila wakikamatwa wahamiaji haramu hapa bongo hatuwaoni wanawake?au hawasafirishwi?
 
Umekosea kidogo,

Wa Ethiopia wanapenda kuzamia kama wakimbizi. Huu ukimbizi nafikiri upo kwenye DNA yao. Haijalishi wapi ila la muhimu awe Mkimbizi kwenye nchi ya maana bila kujali ni USA, Sweden, Norway, Canada.......

Kuna jamaa nilisikia alikuwa akifanya PhD ya Uchumi. Jamaa alikuwa ni mzuri kiasi kwamba Maboss wa World Bank walikuwa wameshamtembelea mara kadhaa kuja kuchukua nondo kwake. Jamaa pamoja na kuwa alikuwa mwanafunzi bado, akawa kapangishiwa nyumba na anaruhusiwa kutumia TAXI muda wote na gharama zake zikawa zinalipwa na hicho kitengo alichokuwa akifanyia kazi. U know what? Pamoja na kuwa alikuwa na chance kubwa sana ya kuja kuwa mtu mzito sana duniani siku za mbele, alikimbia SHULE na KAZI na kuzamia UHOLANZI kama Mkimbizi. Watu machozi yalitoka.
Mkuu Father of All, hakika umenena. Digrii yangu ya pili nimesoma na waethiopia. Kulikuwa na wavulana wawili na dada wawili. Ni kweli kabisa kwamba ndoto ya muethiopia yeyote aliyesoma ni kuishi Marekani. Nilijiuliza sana mpaka leo sijapata jibu ni kwa nini waethiopia wanaipenda sana Marekani. Najua Marekani ni nchi iliyoendelea na ina mazingira mazuri ya kuishi lakini why it is so special for ethiopians!!!!!

Ukimwoa binti wa kihabeshi na katika pitapita yake akikutana na mwabaume atakayemhakikishia kwenda Marekani, basi hapo huna mke.

Panoja na hayo mapungufu, nakubaliana na ukweli kuwa watoto wa kihabeshi na wazuri na wana mvuto sana wa kimapenzi.
 
Hapa turudishie chenj, this is Morena Baccarin, the Brazilian chick kwa wale mnaofuatilia Homeland mtamtambua. Sasa nabadili itinerary nataka enda Copa Cabana halaf ntafanya transit Addis on my way back/

. . . . .Zako changanya na za Mbayuwayu Mkuu! Haaaaa haaaaaa
 
Watoto ni wakali sio mchezo, utafikiri hawapati .......!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom