Why I am Not A Christian - Bertrand Russell

Bluray....
im out of hear maana mtanifanya nitetereshe imani yangu.
eh! Kwaheri!


Kumbuka, just as the unexamined life is not worth living, the unexamined faith is not worth following.
 
Sasa unajadilia kitu bila ya ushaidi, itamsaidia nani? Yaani watu waweke post zisizo na ushaidi na tuendelee kujaliana kama mazuzu? It doesn't work to/for me.

If that is how you darwinians are, nakupeni pole sana. Hamna lolote mnalo juwa zaidi ya kufuata mkumbo.

Bredrin, that is how they are. A mental slavery ting.

Big up man
 
Niliweka hii reply: Nayo inaoneka tatizo ni lilelile, collective knowledge.

Kama umemsoma Aristote katika Metaphysics (c 384-322B.C) ,
Aristote developed the idea of a creator of the cosmos, often referred to as the "Prime Mover"

Are you telling me that Aristote katika metaphysics was wrong and you are correct?

Unashika mtu pabaya hapa. He can't respond on that.



All you know is idea, ukiambiwa lete sasa ushaidi tuone, unakimbia, ooh Max una copy na Kupeste, ooh, Max hujuwi ulicho sema, ooh Max hizo mawazo zako ni dogmatic, etc etc etc,

If you think that you know what you know. Then forward to me tangible, airtight, references which are impecabble?

May be unatumia collective knowledge ndio maana huwezi kunijibu? I think my assumptions are correct.

I gave you a simple solution by asking you a question.

Just tell me, do you have tangible and verifiable references which are impeccables?

YES or NO?

Wewe umekuja na historia ya alfu lela ulela,

This is what I don't understand from you followers of dead darwin? Inaonekana darwin hakuacha information ya kutosha.

My friend, usitegemee jibu hapo.
 
Bredrin, that is how they are. A mental slavery ting.

Big up man

Kati yangu mie nisiyeamini na nyie mnaoamini miungu ya mapokeao ya kiyahudi na kiarabu nani ana mental slavery?

Hii ndiyo naiita "kumnyonga mtu kwa kamba yake mwenyewe" au "kumfunga mtu kwa sheria yake mwenyewe".Uzuri ni kwamba ukweli uko consistent, na madongo yote mnayotaka kunitupia, kwa sababu hayana ukweli, yanawarudia wenyewe.

Kuna mental slavery zaidi ya waafrika kuabudu mungu wa wayahudi na waarabu? Ushahidi? Ushaulizwa mara si chache ushahidi gani unataka? Ushaambiwa toa ushahidi mungu yupo, kimyaaa.

Jibuni maswali hayo hapa juu, au mnataka ushahidi wa forensic za fingerprint na damu ya mungu ambaye hayupo? Nyie mnaosema kwamba mungu yupo ndio mnaotakiwa kunipa ushahidi, mimi nimesema kitu hakipo mnaniuliza ushahidi mie tena? Ya sawa hayo?

Mbona mnachekesha jamani?
 
Unashika mtu pabaya hapa. He can't respond on that.





My friend, usitegemee jibu hapo.

Mbona haya yashajibiwa huko juu, tatizo wewe unakurupuka tu bila kusoma, unajionyesha ulivyo mnazi zaidi ya msomi.
 
Mungu ni mwema sana anakupenda wewe na hata Bluray.Hawezi kukupa pigo..atakupa muda utubu umrudie.Hata Russell alipewa aishi miaka 98 ili ajirudi... sijui kama aliijirudi.Ila kabla yake walikufa wanawe na mkewe na ndugu wengine wa karibu tena vifo vyenye utata..yote haya nadhani yaliweza kumlegeza moyo wake mgumu.

Huyo mungu mwema anapenda hata wale wanaonyofoa na kuwakatakata vipande watoto wachanga ambao bado hawajazaliwa?

Nina rafiki yangu Mliberia aliyeishi Ghana kama mkimbizi. Ole wako akusikie unamfagilia mungu maana shida aliyoipata na maafa aliyoyashuhudia ilikuwa ni kidhibiti tosha kuwa huyo mungu ni simulizi tu maana pale (supposedly) anapohitajika mwenzio anaenda AWOL na kuacha wasio na hatia waangamie. Wema na upendo uko wapi hapo?
 
Mimi nadiscuss philosophy, huko kwenye udini sina access nako na wala sina haja ya kwenda.

Kama una data zilete hapa kwenye umati.

Hiyo philosophy inahusiana nini na WHY I AM NOT A CHRISTIAN? Do you see how funny you guys are? May be ni issue ya memory?

Why do you think russell didn't spend time telling us what he follows and he had use Christianity?

Wewe unakuja hapa, mimi na discuss philosophy. lol
 
My bone of contention is that my free will cannot co exist with god's perfect knowledge.

If god has perfect knowledge then I cannot possibly have free will, because even before I make a left turn, he know that I will, and I cannot change that, so no free will.

On the other had, if I have perfect free will, the moment before I make up my mind to go either left or right, even god does not know where I will go. in this case I have perfect free will but god does not have perfect knowledge.A violation of a godly character.

How can you reconcile this conundrum?


Bogus, poor thinking and reasoning.

An artist knows the end of the picture even before he started drawing it. Reason yako ni ndogo sana pundit.
 
Bogus, poor thinking and reasoning.

An artist knows the end of the picture even before he started drawing it. Reason yako ni ndogo sana pundit.

Kwa nini usionyeshe jinsi "reason" ya Pundit ilivyo ndogo kwa kuzipangua hoja zake na kuzipanga za kwako badala tu ya kuishia kusema "Reason yako ni ndogo sana pundit" Huonyeshi udogo wa "reason" ya Pundit kwa kusema hivyo tu. Sana sana unaonyesha wewe jinsi usivyo na uwezo wa kuzipangua hoja zake.
 
Back
Top Bottom