MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,092
This is called "mental jujitsu"
Wewe umeleta argument yako kutoka kwa Plato, unamaanisha kwamba Plato unamuheshimu sana mpaka ukaamua kum quote umlete hapa atetetee argument yako, mimi ningeweza kukuletea kina Hawkins na Bohrs na watu wengi sana kui dispute point ya Plato, nikaona labda hutawaamini, ngoja nimtumie Plato wako mwenyewe kui defeat argument yako.
You gave a point of reference, presumably a reputable one to you, now I am using the same point of reference then you have the audacity to ask if my source is verifiable and impeccable.
Are you saying that you do bring unverifiable and less than impeccable references here? I did not bring the Plato quote, you did.
So if there is anybody to be questioned about it's authenticity and verifiability it should be you, not me.
Hii ndiyo inaitwa "kumfunga mtu kwa sheria yake mwenyewe". Wewe unaleta sheria bila kuijua, halafu mtu anaitumia kukufunga wewe mwenyewe, then unasema source yako iko wapi? Source umeileta mwenyewe hapa then unauliza source iko wapi.
That just goes to show how weak your argument, and possibly thought process, is.
You are tempting to believe that you are just putting togethere words and copy pasting without actually understanding.
Kuna kale kwa swali ka Aristote, vile vile,
In re of Plato haimaanishi kuwa namuamini, I believe in Jesus Christ, as you can read my name, I am A BONDSERVANT OF JESUS CHRIST, and am proud of it.
Sasa lete impeccable references kusaidia mada yako. Mimi nilifikiri sasa umekua kumbe bado upo pale pale the same PUNDIT!
Kaazi kweli kweli,
Sasa turudi kwenye mada, lete airtight references kusaidia mada yako.
Kutokana na majibu yako, inaoneka huna any reference ya maana. Labda ni kwasabau ya kutumia collective knowledge. Ooops