Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
- Thread starter
- #221
Hatutaki kupeana websites, kama tatizo ni kupeana websites na vitabu kuna websites na vitabu vingi tu tunaweza kupeana.Tunabishana concepts, kama mtu anaweza kutoa concept, kuielezea na kutoa website au kitabu kama sehemu ya nukuu, hiyo inawezekana kukubalika.
Ama sivyo tutakuwa tu8nashindana kutajiana websites na vitabu.
Mimi sihusudu hata copy paste kama unachocopy paste hukielewi na watu wakikukaba kwa maswali unachemsha.
Inabidi uweze kuelezea vitu ulivyosoma, uvielezee ulivyoelewa wewe, si kutoa websites tu kama kasuku anayeimba maneno bila ya kuyaelewa.