Why hii kitu inaendelea sana

Why hii kitu inaendelea sana

1st AID

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
1,079
Reaction score
523
Jamani nipo hapa kivulini, nashitua nyongo na bapa yangu. Nimemwambia wife aje hapa walau anipe company na lakini jimama moja sijui la wapi limekuja na glass kugongea bapa.

Hivi wife akitokea hapa can i justify that i have nothing with her au nimtimue?
 
bapa, kugongea, kustua nyongo... lugha ya vijana hii, mzee sina changu hapa
 
Mwache aje mke akae hapo hapo litahama lenyewe
 
Yaani unapata muda wa kupost ..kijana unahitaji 1st AID
 
Last edited by a moderator:
mh!!! inategemea unajiaminishaje kwa mkeo wengine hata wakikukuta chumbani na jimama wanaamini hujafanya kitu...!!!!
 
Mwache aje mke akae hapo hapo litahama lenyewe

sijui itakuwaje, hivi kweli mtu na akili zako bado upo tu na nimepa yote anaendelea kuongea tu. Nahisi nikahama atanifuata.
 
walevi wana mbinu nyingi za kugongea pombe
 
mh!!! inategemea unajiaminishaje kwa mkeo wengine hata wakikukuta chumbani na jimama wanaamini hujafanya kitu...!!!!

Wife ananiamini, in short we trust each other but sipendi kuanza kuweka maswali yasiyo na miguu wakati huu.. maana nilikuwa kwenye maandalizi.
 
Yaani unapata muda wa kupost ..kijana unahitaji 1st AID

Ngoja nimkaribishe wife kafika nahama na meza then ntakuja, i was bored enough kuwa huyu mgeni mvamizi so nikaona niwakileshae JF walau wadau ambao ni familia yangu wawe wanafahamu nina hali gani.
 
Jamani nipo hapa kivulini, nashitua nyongo na bapa yangu. Nimemwambia wife aje hapa walau anipe company na lakini jimama moja sijui la wapi limekuja na glass kugongea bapa.

Hivi wife akitokea hapa can i justify that i have nothing with her au nimtimue?

Subiri wife afike umtambulishe
 
Back
Top Bottom