Why everybody seems to hate Meek Mill?

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,599
Habari wakuu,

Mimi mgeni humu naombeni kuuliza swali...

Jana 50 cent alikuwa akipost memes kuhusu meek. Na ukipitia comments utaona wengi wakishangilia na kufurahia. Nitaweka attachments ya hizo post.

Pia kuna politician mmoja naye huwa mara kwa mara akimponda meek...

Pia beef ya meek na Drake watu wengi sana walikuwa upande wa Drake. Wakitengeneza memes za meek na kupost...

Na wasanii wengine kibao wamekuwa upande wa Drake wakiponda meek....

Swali langu hivi nini chanzo cha yote haya?

Mbona meek anaonekana kufuata nyayo za King Kiba......Okay okay, I kid...I kid. . .

But seriously why people hate meek so much?

NB.
1. 50 cent is one hell of a funny guy
 
Attachments

  • 1453199058248.jpg
    1453199058248.jpg
    36 KB · Views: 72
  • 1453199079629.jpg
    1453199079629.jpg
    44.6 KB · Views: 71
  • 1453199112504.jpg
    1453199112504.jpg
    49 KB · Views: 71
  • 1453199137414.jpg
    1453199137414.jpg
    30 KB · Views: 74
Habari wakuu,

Mimi mgeni humu naombeni kuuliza swali...

Jana 50 cent alikuwa akipost memes kuhusu meek. Na ukipitia comments utaona wengi wakishangilia na kufurahia. Nitaweka attachments ya hizo post.

Pia kuna politician mmoja naye huwa mara kwa mara akimponda meek...

Pia beef ya meek na Drake watu wengi sana walikuwa upande wa Drake. Wakitengeneza memes za meek na kupost...

Na wasanii wengine kibao wamekuwa upande wa Drake wakiponda meek....

Swali langu hivi nini chanzo cha yote haya?

Mbona meek anaonekana kufuata nyayo za King Kiba......Okay okay, I kid...I kid. . .

But seriously why people hate meek so much?

NB.
1. 50 cent is one hell of a funny guy
Kwa sababu meek anakula mtoto mtamu nick.
 
Kwa sababu meek anakula mtoto mtamu nick.

Mtoto mtamu ndio Nicky Minaj? Duh, mi siwezi kulala na misponji kama ile mpaka asubuhi daily. Adhabu tu ile. Kwanza yule Nicky akikwambia uende chumvini unaweza kufa
 
Nilitaka nikuambie kitu cha maana sana lakini umenichefua ulivyomuingiza King Kiba kwenye hili suala.
Hahahaha wewe Nifah unaamini Kiba ni zaidi ya Mond ndio maana unalialia kila mara wakimponda Kiba. Ukweli ni kwamba we tulia tu isikuume na usilazimishe kila mtu aamini utakacho.
2+2=4 so does 1+3
The way you do things is not the only way to do so, respect other people's thoughts.

Unatunyima hicho ulichotaka kutuambia eti kisa kasemwa Kiba aaah asa mbona unakua kama siyo bingwa la umbeya mjini hapa. Hivi unaweza kuvumilia kusutwa kweli wewe? Si mnasemaga kusutwa ni sunna nyie wambeya.

BTW Kiba anaimba vizuri, anajua kutunga, ana sauti nzuri, kaanza game kitambo kuliko Mond. Ila TATIZO NYOTA!!!!
 
Meek Ni snitch akati yuko gerezan drake ni moja ya wasanii waliokua na kampeni ya free meek mill alivyotoka tuu akatafuta kikii kinguvu kumdis drake ili auze album..kibaya zaidi meek mill hiphop yenyewe haiwezi na ashawaisema kwenye interview kwamba he wish he was drake!!!!kingine he is a broke niggah compared na drake so watu wanamuona kama kashikwa masikio na Nick
 
dah,tatizo NYOTA hata mimi mwenywe automatikale simuelewi huyu jamaa,na ilivokuwa anabattle na Drake nilibaki kushangaa tu!
 
Hahahahaaa khaaaa!
Nasubiri mapovu hapa maana hili litawachoma wengi.
Ha ha ha nifah bana kasemwa diamond umecheeeeka hadi imekupunguzia maumivu ya kiba

Haya mi sijui umbea wa majuu who is meek mill
 
ukishakuwa mtu mtu mzma inabidi uwe na akili hata kidogo, umefanya jambo dogo lakini litaharibu mwelekeo mzma wa post yako
 
Back
Top Bottom