Why Doctor Mpoki Ulisubisya?

Why Doctor Mpoki Ulisubisya?

Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.

I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
Kwa hiyo wangeitungua ile ndege iliyompeleka nairobi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa hata mimi suala Hilo limeniumiza kichwa Sana kwa Nini mtalaam bingwa Kama Dr. Mpoki apelekwe nje ubalozini wakati nchini tunauhaba Mkubwa wa madaktari bingwa kwa Nini asibakizwe nchini kuokoa Maisha ya Watanzania kuliko ubalozini ambako hajasomea hata diplomasia. Namkumbuka sana Kwa kuokoa Maisha ya Tundu Lissu Kabla ya kupelekwa Nairobi Dr. Mpoki Mungu atakuinua zaidi watanzania tunajua umuhimu wako na tunakuombea heri na Afya njema umeokoa Maisha ya watanzania wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa
Kuna baadhi ya watu hawataelewa ulichoandika! Hili ndilo lakusikitisha zaidi!

Masikitiko yako ni kama yangu niliposikia tu huyu mzee anapewa ubalozi.

Mimi kwa uelewa wangu nilijua kwamba hizi kazi za ubalozi zina watu wake hasa waliobobea katika maswala ya kidiplomasia

Kwa haraka haraka mimi hili la huyu dokta naliona kama "kudumaza" taaluma na malengo yake

Nchi makini zinathamini sana na kuendeleza vipawa na maono ya wananchi wake!

Mtu muhimu kama huyu kwenye sekta yenye wataalamu wachache kama afya unaanzaje kumpa ubalozi!? Ila huwezi jua huenda anaenda kututafutia fursa za vijana wetu kusoma masomo ya afya huko aendako! Vinginevyo watu kama hawa ndio walitakiwa kutumia tafiti zao na maono yao ili kuongeza ufanisi na wataalamu katika sekta ya afya!

Nchi nyingine watu kama hawa wanafungiwa maabara kabisa kutafuta majawabu ya matatizo mbalimbali kwenye jamii!

Kama ulivyosema, hata mimi sitaki kuamini katika maswala yasiyo na ushahidi usioshikika kwamba kuokoa maisha ya Lisu yaweza kuwa sehemu ya sababu ya ubalozi Wake! SITAKI KUAMINI KATIKA HILO HATA KWA BUNDUKI!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.

I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
hawa cdm wapuuzi sana wakaondoa ulinzi, wakaiba cctv camera na kuzuia wachunguzi wa kimataifa kuficha ushetani wao.
 
Nilipoona taarifa ya uteuzi nikaijiwa na mawazo kama ya huyu Dr Msomi,kumbe nikiamua naweza fika mbali zaida ya C.A.G
 
Jambo zuri zaidi. Ni kiasi cha muda flani tu. Aliyempeleka huko muda wake utaisha atakuja mwingine atamrudisha tu. Kwani kwa mujibu wa katiba ya nchi bado kama mwaka mmoja na nusu tu hivi ifike 2020 mtu aachie ngazi. Mpoki avumilie tu. Akachape usingizi huko soon atarudi
 
Kwani hawezi kukataa huo uteuzi?
Hawezi, Tanzania kila uteuzi ni ajira ndo maana hatuna utamaduni wa kujiuzulu wala kukataa uteuzi. Nje ya uteuzi maisha ya kipato yana maumivu mengi sana
 
Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.

I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
Mungu alimponya lisu, kama serikali inashinda mamlaka ya Mungu.yatakua maajabu hayo. Siku izi anatoa speech kwa adabu, kuna nini 2020??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.

I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.

Kivipi? Explain yourself
 
Back
Top Bottom