Why Do You Cheat?

Why Do You Cheat?

Cheating is part of life. Mimi siwezipenda mtu nisipite nae ila kama sijakupenda hata uwe mzuri kiasi gani wewe ni mamangu au dadangu tu. Nilisha cheat na dem mmoja wife akajua na akafanya juu chini wakajuana. Nakumbuka hii kauli "pale mme wangu umetisha ni kifaa kweli kweli ila chunga asituletee maugonjwa" nikajua hapa kumekuchaa hadi wa leo ni marafiki na wake wenza hadi siwaelewi coz sio kwa kuelewana kule. Hata watoto huwezi jua huyu ni wa mke mkubwa au wa mdogo wote tabia moja. Utamuita jack jeff atakuja ukimwita brayo ben atakuja kuwakilisha. Cheating sio mbaya kwangu coz naona manufaa yake.
 
Kwahiyo huyo mchepko baadae ulimuoa kabisa na mpka leo upo nae?
 
Men we are polygamy by nature

But anyways cheating my wife is the most stupid thing I can ever do

She gives me stability and peace but sometimes some women just came and you have to prove you are men

But I tell them I have a woman but they insist so what should I do and I am a man who erects 24/7/365
 
Men we are polygamy by nature
That's the same excuse men always come up with.
but who knows, maybe you're telling the truth
But anyways cheating my wife is the most stupid thing I can ever do
Yes ni stupid kwa sababu unapewa utulivu huna excuse
She gives me stability and peace but sometimes some women just came and you have to prove you are men

But I tell them I have a woman but they insist so what should I do and I am a man who erects 24/7/365
Nimecheka sana alooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Baba Swalehe🙌
 
nimeanzia,,

ipo hivi... mi kwenye mahusiano huwa sifanyi cheating maan kyuma yangu inadeka mno moto kidogo inapata maumivu
🙌🙌🙌 jizaziiii yooooo 🙄
sooo huwa najitahidi kuwa na mtu mmoja ila anae niwezea mikazo yote
🔥🔥🔥 🤣🤣🤣
and good enough ni kwamba kila ninako angukia huwa panaeleweka🔥🔥
Hujawahi kupata mataputapu binti😎
Una jicho kali la ku point
 
Aisee MashaAllah
Hivi wake wawili huoni ugumu kwenye 6 kwa 6
siwahi coz kila mtu ana wiki yake ya kujifunika ngumi na kuwa na mimi. Siri ni kujiamini na maugonjwa yakupite mbali na ule ushibe na sio kula chips unakimbilia huko 6 by 6 watakuokota mvunguni. Na sijifii wala nini ukwel sijawahi fikiria au hata kuwaza kama wananisaliti hata cku na moja.
 
Safiiiiii haya kiwasheee 🔥🔥🔥
Enjoy na wake zako
Muhimu mmekubaliana🤝
 
Back
Top Bottom