Why Do You Cheat?

Why Do You Cheat?

Una experience mbona kama unaongea kwa uchungu😎

Yaan m ki match inakua hot 🔥
Yeah nina experience hiyo so I know wat it is when it comes to loneliness, lkn yalishapita hayo ni long time sana,na yalinipelekea kucheat

Yap mkimatch mbona dunia mnaiona ni yenu na wakazi wengine mnaona kama wamewavamia kwenye anga zenu😂😂
 
Yeah nina experience hiyo so I know wat it is when it comes to loneliness, lkn yalishapita hayo ni long time sana,na yalinipelekea kucheat
Dah pole sana kwa bad story 😢
Yalishapita now ni kufurahia wakati uliopo
Yap mkimatch mbona dunia mnaiona ni yenu na wakazi wengine mnaona kama wamewavamia kwenye anga zenu😂😂
Kwakweli malovee nayo ya ki match inakua 👌
 
Sawa ukibadili nishtue Mr fekero

So ukitaka kuzungumzia mambo ya malovee una switch kwenye hili fekero la utanipenda tu🤣🤣 ila JF

Kumbafuuuuu🤣🤣🤣
Ntakushtua tu wala usiwaze napenda nyuzi zako unajua kuwa engage watu,ndio maana nimekufollow

Hapana sio kwa mapenzi tu laa,ila hata mambo mengine huwa nakuwa huru sana kujichanganya,unajua baadhi yetu tuna I'd ambazo kama vile hazizoeleki au sijue nisema zipo serious kwahiyo kuna mambo ukijadili ndio ile huyu nae siku hizi kajitoa lock nini😂😂
 
Ntakushtua tu wala usiwaze napenda nyuzi zako unajua kuwa engage watu,ndio maana nimekufollow
Nimeona follow haya karibu kwenye jamvi la mada zangu🔥🔥
Hapana sio kwa mapenzi tu laa,ila hata mambo mengine huwa nakuwa huru sana kujichanganya,unajua baadhi yetu tuna I'd ambazo kama vile hazizoeleki au sijue nisema zipo serious kwahiyo kuna mambo ukijadili ndio ile huyu nae siku hizi kajitoa lock nini😂😂
Ni ning'oneze I'd yako ya kwanza nitatunza siri 😊
 
Mambo ya Malovee 😊

Sometimes watu walio penzini au kwenye ndoa hujikuta tu kwenye mtego wa cheating

Wengine huja na visingizio au sababu mbalimbali

Mwingine anasema, Sipewi hata nikiomba kwa chozi
😀 Basi anajikuta amecheat

Mwingine anasema, Mume haniridhishi
Akipiga kimoja cha kuku, anakoroma mpaka asubuhi🙄

Mwingine anasema,
Nilitaka kupata experience

Kuna rafiki yangu aliolewa akiwa bikra

Kadiri alivyokuwa akikaa na kusikia wanawake wakihadithiana mambo ya jigijigi, na ukizingatia mume alikuwa na maudhi, akaamua kutaka kupata experience huko nje

Japo anasema hakuna furaha yoyote aliyopata zaidi ya kujutia tu

Sasa wewe unadhani cheating inasaidia au inabomoa kabisa pale penye ufa?

Nini kilikufanya uka-cheat?

Unajutia?

Umeacha au bado unaendelea?

Huwa hujisikii vibaya ukimcheat wa ubani?

-Au hujawahi kabisa?

Friday night 🤗
ShesRise_1 ✋️

Wadada na wamama waliopo kwenye ndoa Wana cheat kwa sababu ya tamaa ya kupatiwa Pesa akalipe vikoba.

Utakuta mdada mrembo yupo benki kaolewa na ana Mume, akichungulia akaunti ya mteja imenona anaamua kucheat tu ili apate sasamba

Wadada na wamama wengine Wana cheat kwa sababu ya tamaa za mwili za kutoa upwiru lakini mwishowe huwa wanajutia maana wengine wanatoka na UKIMWI

Mwisho, wadada na wamama waliopo kwenye ndoa Wana cheat kwa sababu ya kutokuridhishwa kimapenzi na Wanaume zao, hivyo anaamua kucheat

Imeandikwa ishi nao kwa akili
 
Wadada na wamama waliopo kwenye ndoa Wana cheat kwa sababu ya tamaa ya kupatiwa Pesa akalipe vikoba.
Baadhi ya wa dada na wa mama ✅️
Utakuta mdada mrembo yupo benki kaolewa na ana Mume, akichungulia akaunti ya mteja imenona anaamua kucheat tu ili apate sasamba
Aloo kasheshe
Wadada na wamama wengine Wana cheat kwa sababu ya tamaa za mwili za kutoa upwiru lakini mwishowe huwa wanajutia maana wengine wanatoka na UKIMWI
Waume wao hawapati ukimwi?
Mwisho, wadada na wamama waliopo kwenye ndoa Wana cheat kwa sababu ya kutokuridhishwa kimapenzi na Wanaume zao, hivyo anaamua kucheat
Hii mbaya walidhisheni basi
Imeandikwa ishi nao kwa akili
Sawa
 
Back
Top Bottom