Why Do You Cheat?

Why Do You Cheat?

Kucheat kwa mtazamo wangu kunasababishwa na mambo mengi sana,sometime mazingira uliyopo,tamaa,,upweke wa kwenye ndoa unachangia sana

Kwahiyo kila mtu anajikuta ana cheat kwa namna yake au kwasababu zake

Ila wanawake wakishaanza kucheat ujue hawajafanya kwa tamaa bali kwa upendo au mapenzi,tofauti na wanaume huwa tunacheat just kwa tamaa tu na sio kihisia,ndio maana mwanaume anaweza kucheat na bado akampenda mke kwa dhati kabisa,ila mke akicheat ujue amedhamiria na amefall in love

Ila Chonde Chonde wanawake,gombana na mwanaume wako mume wao mtakavyo gombana ila usimnyime,ingawa hiyo huwa mnatumia kama adhabu au silaha ya kutupigia,lakini mnasababisha wanaume wacheat
 
Hii ndio ile upo na mahusiano na baado ni mpweke aisee😢
Kwahiyo kila mtu anajikuta ana cheat kwa namna yake au kwasababu zake
Aiseee
Ila wanawake wakishaanza kucheat ujue hawajafanya kwa tamaa bali kwa upendo au mapenzi,tofauti na wanaume huwa tunacheat just kwa tamaa tu na sio kihisia,ndio maana mwanaume anaweza kucheat na bado akampenda mke kwa dhati kabisa,ila mke akicheat ujue amedhamiria na amefall in love
Wanawake waki cheat mapenz yanakua yameisha et?
Ila mwanaume ni tamaa tu eeh
Ila Chonde Chonde wanawake,gombana na mwanaume wako mume wao mtakavyo gombana ila usimnyime,ingawa hiyo huwa mnatumia kama adhabu au silaha ya kutupigia,lakini mnasababisha wanaume wacheat
Sawa hamtanyimwa tena mtapewa
Ila ujue kabisa migogoro ina athiri hisia
 
Hii ndio ile upo na mahusiano na baado ni mpweke
Yeah for sure,hii ni mbaya sana yan ni bora uwe single na mpweke kuliko upo na mtu halafu ni mpweka,inaumiza sana,ndio ile mko kwenye ndoa utafikiri mmeishi miaka 30 ya ndoa kumbe ni chini ya 5 au 7

Hapa mnakuwa mnaishi kama dada na kaka,hakuna mahaba,hakuna ile thrill ya Malovedavi
 
Hii imekaa vibaya na hapoo uwe umekutana na bandidu muda wote anajitia mgumu lol utaomba poo mkuu🤣🤣

Hakuna ku sexsishana mnaona kwenye movie🤣🤣
 
Hii ndio ile upo na mahusiano na baado ni mpweke
Yeah for sure,hii ni mbaya sana yan ni bora uwe single na mpweke kuliko upo na mtu halafu ni mpweka,inaumiza sana,ndio ile mko kwenye ndoa utafikiri mmeishi miaka 30 ya ndoa kumbe ni chini ya 5 au 7

Hapa mnakuwa mnaishi kama dada na kaka,hakuna mahaba,hakuna ile thrill ya Malove
Wanawake waki cheat mapenz yanakua yameisha et?
Ila mwanaume ni tamaa tu eeh
True, inasemwa mwanamke akicheat basi ujue ameshafanya hesabu na yupo tayar kwa lolote,na mpaka afikie hatua hiyo basi ujue yupo tayar kama liwalo na liwe
 
Aisee inaweza kua ni kweli ila sina uhakika sana mkuu

Nje ya mada hili fekero lako umeamua ukomae nalo tu

Au kuna mchongo una usikilizia?
 
Hii imekaa vibaya na hapoo uwe umekutana na bandidu muda wote anajitia mgumu lol utaomba poo mkuu🤣🤣

Hakuna ku sexsishana mnaona kwenye movie🤣🤣
We acha tu maji utatamani useme mma

Yani utatamani wewe ndio ungekuwa kwenye maisha ambayo unayaona kwenye movie,to be honest mkikutana na mtu mme match unainjoy sana ♥️
 
Aisee inaweza kua ni kweli ila sina uhakika sana mkuu

Nje ya mada hili fekero lako umeamua ukomae nalo tu

Au kuna mchongo una usikilizia?
Hili fekero nakomaa nalo ingawa nitabadilisha jina hapo mbeleni ntakushtua tu kwamba lile fekero now linaitwa hivi😂😂

Sababu nyingine kuna mambo siko huru sana kujadili na I'd yangu ya muda mrefu may be kutokana na image ambayo imezoeleka kuwa nayo nikiwa na I'd ile

Ila I'd zote zinatumika na saa nyingine zote zinakutana kwenye uzi mmoja kwa nyakati tofauti😂😂
 
Sawa ukibadili nishtue Mr fekero
Sababu nyingine kuna mambo siko huru sana kujadili na I'd yangu ya muda mrefu may be kutokana na image ambayo imezoeleka kuwa nayo nikiwa na I'd ile
So ukitaka kuzungumzia mambo ya malovee una switch kwenye hili fekero la utanipenda tu🤣🤣 ila JF
Ila I'd zote zinatumika na saa nyingine zote zinakutana kwenye uzi mmoja kwa nyakati tofauti😂😂
Kumbafuuuuu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom