Utanipenda tu
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 102
- 212
Mkuu sijaelewa vizur kama huyo ni mke rasmi au laa, lakini inasemwa ukiona wake wenza wanapendana basi fahamu kuna mambo wanashirikiana vizur tu na wanaenda sawaCheating is part of life. Mimi siwezipenda mtu nisipite nae ila kama sijakupenda hata uwe mzuri kiasi gani wewe ni mamangu au dadangu tu. Nilisha cheat na dem mmoja wife akajua na akafanya juu chini wakajuana. Nakumbuka hii kauli "pale mme wangu umetisha ni kifaa kweli kweli ila chunga asituletee maugonjwa" nikajua hapa kumekuchaa hadi wa leo ni marafiki na wake wenza hadi siwaelewi coz sio kwa kuelewana kule. Hata watoto huwezi jua huyu ni wa mke mkubwa au wa mdogo wote tabia moja. Utamuita jack jeff atakuja ukimwita brayo ben atakuja kuwakilisha. Cheating sio mbaya kwangu coz naona manufaa yake.
Sikutishi lakini wanaweza hata kufichiana siri za kuchepuka