Why Do You Cheat?

Why Do You Cheat?

Weka neno la busara
Kwa maoni yangu , pamoja na sababu nyinginezo lakini sababu kuu ya cheating ni tamaa. Kuoana tafsiri yake kuu ni kuachana na mambo yote ya ujana. Ujana mshaumaliza sasa mnaamua wawili kuishi pamoja kindoa (mke na mume)
 
Asante sana mzee hope haya maneno yako unayaishi😊
 
Back
Top Bottom