ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 14,659
- 34,297
- Thread starter
- #41
AsalamalekooooAbeee!
AsalamalekooooAbeee!
Mpaka mmoja atokomee.Makubariano yenu yapo vipi ?
Kwamba mnachezeana hakuna future
Au huo muda mnaochezea una ruhusiwa ku cheat?
Hii ni maajabu
Mungu akulinde mkuuNiombee tu nisije jishindilia juice ya zabibu kutoka Idodomiya nikasahau simu.
🤣🤣🤣🤣 dogo umepiga cha wapi leo?Uzuri we mambo yako kimya kimya, endelea kuwaficha hao wastaafu wako wenye vipara.
Walekusalamu🤣🤣Asalamalekoooo
Makubariano yenu yapo vipi ?
Kwamba mnachezeana hakuna future
Au huo muda mnaochezea una ruhusiwa ku cheat?
Hii ni maajabu
We hangaika na vizee ngoja siku uwe historia kabla siku yako haijafika.🤣🤣🤣🤣 dogo umepiga cha wapi leo?
Vizee gani tena jamani?We hangaika na vizee ngoja siku uwe historia kabla siku yako haijafika.
Wale unaowa-date.Vizee gani tena jamani?
Heh nilijua wewe ni church boyMpaka mmoja atokomee.
Wow😍😍Sijawahi kucheat na sitomchit mke wangu
Babu unasema 😊😎We're not cheating, sijui kwa nini mnaita cheating! It's not cheating...
😅😅 hivi huyu lol
Hovyoooo!We're not cheating, sijui kwa nini mnaita cheating! It's not cheating...