Where is B. Hussein getting the money to spend and to "stimulate" the economy? How long do you think China will continue to buy US treasury bills i.e. lending money to the United States? How much money can B. Hussein print without causing hyperinflation and making the US dollar worthless? You grow economy by innovation and being productive. If spending worked then Zimbabwe would not be in such a mess economically today as over 54% of their GDP is government spending. What B. Hussein is doing in terms of government spending has never worked before so I am not sure why you believe it will work this time. All he is doing is leaving a $10 trillion debt on the country.
You're wrong,Bush alikuta surplus na ameacha deficit ya trillions,na ukiangalia kiundani alikuwa akikopa pesa hizo hzio kutoka kwa Mchina mainly kwasababu ya vita vya Iraki....Na unaposema what he is doing has never work before una maana gani? Before like when? So far unaifananisha crisis hii na ipi hiyo ili tuweze kupima kama unavyofanya wewe? Sasa unaposema ataacha debt ya $ 10 trillion,wewe ulitaka hizo pesa azitoe wapi?
I don't understand what you are trying to communicate. First you are not answering my questions and I feel like you are just rambling incoherently. Can you post in English?
I don't understand what you are trying to communicate.
Can you post in English?
Huyu thetruth ni wa kkumpuuzia.....eti hataki post za kiswazi....I am trying to communicate what im trying to,can't you read? Unafikri i cant post in English? I just didn't choose to do so...Certainly not to please you, i know for sure you can read swahili but you always choose to respond with English,that doesn't mean that i have to do the same,talking about rambling incoherently,is that you're best shot? Maana unasema sijibu maswali yako,mwaswali yapi hayo...?Ulisema something Mr Obama is doing has never work before,sasa nilipokuuliza ni crisis gani similar to this current one ambayo mbinu kama za Obama zilitumika zikashindwa huwezi kujibu,badala yake unapost upuuzi.
Tatizo liko hapo na huyu ndugu yetu atakuwa na udhaifu uliokaribiana na utumwa wa kifikra....Tatizo ni kiingereza cha ku copy and paste,badala ajibu hoja kwa uwezo na uwelewa wake,yeye anachagua maneno ya kukariri kutoka kwenye novels nk....Mimi na type kumjibu,yeye anasema i am rambling incoherently,sasa wapi na wapi? ama hajui maana ya "Rambling incoherently?" Anajua kiswahili vizuri tu,sasa imagine mtu kama huyu ukute ni kiongozi wetu,tutafika kweli? Ni one thing kuipa kugha a kiingereza kipaumbeke kutokana na ukweli kuhusu dunia tuliyoko,lakini kudharau utu wako na kila kitu cha mtu mweusi si sahihi bali ni utumwa wa akili.Huyu thetruth ni wa kkumpuuzia.....eti hataki post za kiswazi....
.....huyu si alianzia bsc na kwanini afate forums za waongea kiswahili na wakati hataki post za kiswahili? angalia post ya hii chini kalewaje mpaka akatoa "thanks"?
https://www.jamiiforums.com/420901-post17.html
Ujinga mtupu,
Viongozi hao hao wa Marekani wakienda Japan wana bow kama kawaida na hakuna maneno leo kwa mwarabu imekuwa matusi...
Mkewe Michelle kamkumbatia Queen imekuwa deal..ati hakuheshimu tradition za kiingereza.. Obama kafanya alichotakiwa imegeuzwa tena kuwa makosa.. yaani sijui Obama afanye nini kuwaridhisha wazungu..
Ujinga mtupu,
Viongozi hao hao wa Marekani wakienda Japan wana bow kama kawaida na hakuna maneno leo kwa mwarabu imekuwa matusi...
Mkewe Michelle kamkumbatia Queen imekuwa deal..ati hakuheshimu tradition za kiingereza.. Obama kafanya alichotakiwa imegeuzwa tena kuwa makosa.. yaani sijui Obama afanye nini kuwaridhisha wazungu..
I am trying to communicate what im trying to,can't you read? Unafikri i cant post in English? I just didn't choose to do so...Certainly not to please you, i know for sure you can read swahili but you always choose to respond with English,that doesn't mean that i have to do the same,talking about rambling incoherently,is that you're best shot? Maana unasema sijibu maswali yako,mwaswali yapi hayo...?Ulisema something Mr Obama is doing has never work before,sasa nilipokuuliza ni crisis gani similar to this current one ambayo mbinu kama za Obama zilitumika zikashindwa huwezi kujibu,badala yake unapost upuuzi.
Your question about similar crisis came after my questions, so how about you answer my questions first? In fact if you read my post(s) carefully instead of knee-jerk reacting to them you will find answers to your question. Re-read the part about Zimbabwe in my post and see if that helps. If not then I can get into economic recessions (with higher unemployment rates and higher inflation rates than we currently have) during Jimmy Carter, the great depression where what B. Hussein is trying to do was tried and failed.
PS: I am asking you to post in English in order to ease our communications not to insinuate you don't understand the language. Just thought I would clarify this.
There's no need for clarification, you know BOTH English and Swahili,sasa clarification kuwa unataka kuease our communication si majungu tu? Ntakuwa nakuita THE FALSE!Your question about similar crisis came after my questions, so how about you answer my questions first? In fact if you read my post(s) carefully instead of knee-jerk reacting to them you will find answers to your question. Re-read the part about Zimbabwe in my post and see if that helps. If not then I can get into economic recessions (with higher unemployment rates and higher inflation rates than we currently have) during Jimmy Carter, the great depression where what B. Hussein is trying to do was tried and failed.
PS: I am asking you to post in English in order to ease our communications not to insinuate you don't understand the language. Just thought I would clarify this.
There's no need for clarification, you BOTH English and Swahili,sasa clarification kuwa unataka kuease our communication si majungu tu? Ntakuwa nakuita THE FALSE!
Kama huwezi kunielewa basi siwezi kujibu posting zako....Na kama unaelewa basi ntajaribu kujibu tena... Deal?