Maisha ya ndoa yapo so complicated..Mapenzi yanachuja kwa jinsi muda unavyokwenda na ni wajibu wa wanandoa kurudisha yale mashamsham na kukumbushia yale mahabati ya enzi na enzi..Kama unategemea someone to come and save you that aint gonna happen...Na kama umeshajaribu hayo na yameshindikana na unaona utakuwa mtu mwenye furaha zaidi ukiondoka then DONT STAY IN A MISERABLE MARRIAGE,YOU LIVE ONCE MY DEAR,SO CHERISH EVERY SINGLE MOMENT OF YOUR LIFE!Kumbuka wewe ndio uliye kwenye hio ndoa na unajua unachokipitia mimi nakushauri tu kutokana na ulivyojieleza,na nilishasoma uzi zako nyingine kuhusiana na suala hili hili...Habari zenu za week end MMU??
Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
ndoa ina vipindi tofauti....muombe Mungu akurahisishie magumu yote ambayo unayapitia katika kipindi hiki......Habari zenu za week end MMU??
Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
Habari zenu za week end MMU??

unaizungumzia movie au wewe?
Duuuuh pole, mazungumzo ni kitu muhimu na penzi litazaliwa upya, muweke tofauti zenu pembeni.
Umeolewa coz ni moral na mlipendana by the tym.
wewe uko bored tu
find a hobby.....
watu wengi wanakuwa so bored after ndoa
Inaelekea uliolewa kwasababu ya kitu flan na hicho kitu hakipo
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Last time, ulikuwa counselled hadi ukaahirisha kuondoka. Rejea uzi wako wa nyuma huenda ukapata nafuu tena.
Thanks for ur words, am worried na hiyo hobby ntakayoianzisha haitaleta madhara zaidi badala ya kurejesha ahueni kwa ndoa?
Natamani nikuulize kwa nini watu wengi wanakuwa bored baada ya ndoa ila ntakuwa nakuonea maana kiukweli hapa nilipo niko bored mnoo kuliko maelezo.
Tatizo haswa nini... mlevi halali ndani au
exactly aliolewa sababu ya kitu ambacho now anakiona cha kawaida
keshakizoea sasa empty feelings zinamrudia...
What if alichagua kuwa hubby wake ndo awe hobby yake? Abadilishe hobby?
U and data seem to be right by 99% sas kama nilioshaingia in that way nifanyaje?? Is there a way to solve it? au ndo hobby will make it? Nikiziangalia hobby zangu nachoka kabisa labda miunde mpya............!!!
Mh! Ya huyu yameanza kitambo! Kama bado basi aanze sasa kumshirikisha Mungu maana ushauri wa binadamu ameshapewa sana.Pole mwaya vumilia yatakwisha.