Why did I call you?

I want ngoni's girl but they are so .............angrrrrrr.
Hallo @fp, ila shikamoo yangu hupati, hakyanani.
 
ha haaaa, afadhali umenielewa mwanafunzi wangu, lol!
I just like to tease the boy. anachukulia majibu yangu sooo serious,
saa zingine I even think anapatwa na hasira, naona rahaaa! lol
 
I just like to tease the boy. anachukulia majibu yangu sooo serious,
saa zingine I even think anapatwa na hasira, naona rahaaa! lol
ila ukigundua hivyo unapotezea....
mimi kuna mdada nilimfanyia hivyo kwenye post yake, nikaona ananijibu ki-serious, nikamfwata PM kumwambia namtania tu, akanijibu kiserious basi ikabidi nisijue la kufanya zaidi ya kumpotezea.
unajua sometimes wewe unaweza dhani unafanya utani na mwenzio atakuelewa kumbe inakuwa opposite.
 
Mi mbona naenjoy tu? kama yeye anakereka yeye ndie anatakiwa kunipotezea
Mi TV iliniharibikia mwezi jana, JF ndio imebaki source of my entertainment. lol
 
Mi mbona naenjoy tu? kama yeye anakereka yeye ndie anatakiwa kunipotezea
Mi TV iliniharibikia mwezi jana, JF ndio imebaki source of my entertainment. lol
ha haaa, enjoy!
 
Asante Neggirl,
unapoteleaga wapi?

daaaaa... mweee mwenzio nimekumbwa na Janga lolz. Simu nayotumia sasa haina application ya JF so inaboa kidogo kutumia kwa kupitia google mydia.
 
daaaaa... mweee mwenzio nimekumbwa na Janga lolz. Simu nayotumia sasa haina application ya JF so inaboa kidogo kutumia kwa kupitia google mydia.
pole sana my dear.....
tech zinatufanya tunakuwa wavivu sana, umegundua hilo?
 
pole sana my dear.....
tech zinatufanya tunakuwa wavivu sana, umegundua hilo?

thax @FP.. sidhani kama tunakuwa wavivu best. Naweza kusema zina-save time, kitu ambacho ni muhimu sana.
 

pole rafiki!
but huyo binti yupo kwenye denial namuelewa( ,si unajua!)mpe muda atatuliza akili
 

But unaweza mpa mtu ushauri
ukawa ni sahihi according to you
usiwe sahihi kwake
na akakufuata ikawa ni better but still mtu deep down
ameumia kwa 'kukandamiza' hisia zake za kweli..

mfano ni sahihi kumshauri mtu kuacha 'hasira' zipoe
au asitende kwa hasira but akajikuta anaumia zaidi kwa kujilazimisha
awe 'sahihi according to society wants'

so sometimes bora ku avoid kuwapa watu ushauri wa kuwapooza
waache wakalipuke kwanza,ushauri uje badae
 
mwl mkuu wa darasa la tatu b ulipotelea wapi?

ahahahahhahhahahahha af wewe!
nipo dada mkubwa!nimejaa tele!
nilikuwa kwenye tume ya kubadilisha matokeo!ndo yameshatoka sasa nimerudi!
 
ha haaa, rafiki hapo kwa RED nimecheka sana...
what if akienda kulipuka baadae akagundua kuwa alipitiliza na alishakuomba ushauri ndo ukamkolezea moto?
sasa baadae unampa ushauri wa nini?
kwa nini usimpoze kwanza muda ule yupo hot halafu baadae ukamtoa kwenye mkandamizo alionao?
hapo nahisi hasira zitakuwa zimepungua na hata aki-react atafanya kweli kwa kudai haki yake na siyo kwa hasira
 
ahahahahhahhahahahha af wewe!
nipo dada mkubwa!nimejaa tele!
nilikuwa kwenye tume ya kubadilisha matokeo!ndo yameshatoka sasa nimerudi!
yaani hiyo kazi uliyoenda kuifanya inazidi kunitia hasira,
bora ungesema ulikuwa unampikia shem wangu, au ulikuwa kwenye mfidio, lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…