Why did I call you?

poa rafiki, pole sana.....
of all the people, wewe? kwa nini hukuni-call? lol!
usijilaumu, wakati mwingine tunafanya vitu ili tujifunze rafiki. ukiona unajutia ujue kuna kitu umejifunza kutukana na tendo ulilolifanya.... naamini halitarudia tena.

Nimeongeza chumvi kidogo, sijutii kumreprimand huyu binti yangu maana hajatulia kabisa. lakini kweli sometimes the anger gets better on me, ila nimejifunza deep breathing baada ya kugonga geti siku moja kazini waliponiudhi. Shida yangu huwa nashout, and l can do anything nikikasirika kweli.
 
ha haaa, hapo kwenye RED, unajua ile mtu anakuja kukuambia "hii ni siri"....
huwaga nawaambia "wait a minute..... kabla hujaniambia, umeshamwambia nani tena?"
kama ulishamwambia mtu hata mmoja, naomba usiniambie.... maana ikishavuja huko hutakuwa na uhakika nani kaivujisha, sitaki kuwa miongoni mwa watu utakaowahisi......
 
Hujamtendea haki huyo jamaa....lol!

Kwa nini hukubadilisha na kumpa dozi kidogo ya hasira??

Babu DC!!
ha haaa, babu, ndo hicho alicholalamika......
alihitaji kupandishwa hasira kidogo, bahati mbaya ali-call wrong number, lol!
sasa mimi na kumpandisha mtu hasira wapi na wapi?
 
Ha ha ha, umenikumbusha dad mmoja

Alikuwa ukimwambia 'siri', anasema usim=niambie tu

Nikishajua ni siri ndio nataka kusema zaidi

 
ha haaa, nimekusoma rafiki......
binti ongea naye tu, next time atajuuuta kuja kwa mamdogo akijifungua...... utasikia tu "tulishapata mtoto", lol!
mimi sipendi sana kukaa na hasira maana nimegundua huwa naumia sana, na mbaya zaidi unayeumia juu yake anakuwa anadunda tu. fikiria hivyo ulivyokasirika kwa ofisi.... sijui bosi au colleague, alikuwa anadunda tu wewe unagonga geti, hasara juu ya hasara, lol!
 
Ha ha ha, umenikumbusha dad mmoja

Alikuwa ukimwambia 'siri', anasema usim=niambie tu

Nikishajua ni siri ndio nataka kusema zaidi
ha haaa, yaani haya mambo yana majaribu saana.....
bora mtu akuambie kama stori ya kawaida tu
 

Kweli hapo unakuwa umeshatimiza wajibu wako sasa unamwachia akili yake nayo ichambue lipi zuri lipi baya
 
FP naomba number yako na mimi niwe nakupigia, niko na stress nyingi sana siku hizi.
 
swali muhimu sana..maana kuna watu wanaweza waambia hata watu watano,kila mmoja kwa wakat wake..na wote wakaambiwa ni siri kwaiyo watunze..ikivuja zaidi hapo ndo lawama zinaanza
 
swali muhimu sana..maana kuna watu wanaweza waambia hata watu watano,kila mmoja kwa wakat wake..na wote wakaambiwa ni siri kwaiyo watunze..ikivuja zaidi hapo ndo lawama zinaanza
umeona eeeh! hilo ndo ninalolikwepa mimi....
bora asiniambie kuliko aje ahisi kuwa nimevujisha "SIRI" yake
 
Kweli hapo unakuwa umeshatimiza wajibu wako sasa unamwachia akili yake nayo ichambue lipi zuri lipi baya
la muhimu ni wewe kutimiza wajibu wako, mengine unamwachia mwenyewe.....
 
FP please call me nina hasira leo ata sijui why....
 
Last edited by a moderator:
Rafiki yangu kipenzi(i hope you read this) alinitumia msg siku moja akisema 'now i know!!!'.
Baadae akanitumia nyingine:
When in hard times or upset i call someone i know ananipenda.
When happy or in good tidings i call someone ninajua nampenda.

Then i also knew at that very moment. Confirmed kuwa tunapendana. We share the bad, good and the dirty. Ni raha sana kuwa na such a kind of a friend. Someone who will always stand by you and help you be more wiser kwa kuangalia mambo kutoka angle nyingine.
 
FP please call me nina hasira leo ata sijui why....
ha haaa, ntaku-call friend....soon...
You know I am always there for my friends.... usikonde wala nini, hasira zitaisha soon
 
Ni kweli kabisa King'asti, nina rafiki wa hivyo pia..... juzi ananiambia hataki ushauri wa ku-cool down, nikamwambia you have called the wrong person then...... kwa bahati mbaya hana mwingine wa ku-share naye hicho kitu.... patamu hapo.
ingawa wakati mwingine inatokea unapokea simu za watu ambao hata hampo close kivile..... utasikia "nimepata namba yako kwa J"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…