Huyu sio mtu wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho kutumia ulimi na kalamu yake kujaribu kuizima Nuru ya Allah. Hatakuwa wa kwanza kupiga propaganda dhidi ya Uislam. Lakini kama watu wengine mfano wake waliopita (ambao wapo waliokuwa na akili, mipango, njama na nguvu kuliko yeye), hatoshinda. Namuombea kwa Allah amuongoze katika Uislam.
Motoekoppela te soma hapo chini;
ayat 8 from Surah As-Saff
﴿يُرِيدُونَ لِيُطْفِئُوا نُورَ اللَّهِ بِأَفْوَاهِهِمْ وَاللَّهُ مُتِمُّ نُورِهِ وَلَوْ كَرِهَ الْكَافِرُونَ﴾
[ الصف: 8]
Wanataka kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao. Na Mwenyezi Mungu atakamilisha nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia.
Soma tena;
Tamim al-Dari reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “This matter will certainly reach every place touched by the night and day. Allah will not leave a house or residence but that Allah will cause this religion to enter it, by which the honorable will be honored, and the disgraceful will be disgraced. Allah will honor the honorable with Islam, and he will disgrace the disgraceful with unbelief.”
Source: Musnad Aḥmad 16957
Grade: Sahih (authentic) according to Al-Arna’ut
Allah akuongoze katika Nuru ya Uislam.
Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah. Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah. Aamiin.