Why can't this guy coexist peacefully with others

Why can't this guy coexist peacefully with others

Huyu sio mtu wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho kutumia ulimi na kalamu yake kujaribu kuizima Nuru ya Allah. Hatakuwa wa kwanza kupiga propaganda dhidi ya Uislam. Lakini kama watu wengine mfano wake waliopita (ambao wapo waliokuwa na akili, mipango, njama na nguvu kuliko yeye), hatoshinda. Namuombea kwa Allah amuongoze katika Uislam.

Motoekoppela te soma hapo chini;

ayat 8 from Surah As-Saff
﴿يُرِيدُونَ لِيُطْفِئُوا نُورَ اللَّهِ بِأَفْوَاهِهِمْ وَاللَّهُ مُتِمُّ نُورِهِ وَلَوْ كَرِهَ الْكَافِرُونَ﴾
[ الصف: 8]

Wanataka kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao. Na Mwenyezi Mungu atakamilisha nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia.

Soma tena;

Tamim al-Dari reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “This matter will certainly reach every place touched by the night and day. Allah will not leave a house or residence but that Allah will cause this religion to enter it, by which the honorable will be honored, and the disgraceful will be disgraced. Allah will honor the honorable with Islam, and he will disgrace the disgraceful with unbelief.”

Source: Musnad Aḥmad 16957

Grade: Sahih (authentic) according to Al-Arna’ut



Allah akuongoze katika Nuru ya Uislam.


Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah. Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah. Aamiin.

Pengine wengi wangependa kuwa waislam, lakini kwa nini wanashurutishwa wajifunze au ku assimilate mila, desturi na tamaduni za kiarabu?
 
They are very selfish. Angalia walivyoshinikiza watoto wa kike kuvaa hijabu mashuleni wakati nchi sio ya kidini, All time wanajiona ndo wako sahihi kuliko watu wa dini nyingine
Kwani binti akivaa hijabu shida iko wapi? Ama nini kinapungua au kuongezeka katika maisha yako?
Sasa hapo selfish inaingiaje?
Mungu akujaalie uwe na fikra pana katika kudadavua mambo kabla ya kuchkua hatua.
Aamiin.
 
Kwani binti akivaa hijabu shida iko wapi? Ama nini kinapungua au kuongezeka katika maisha yako?
Sasa hapo selfish inaingiaje?
Mungu akujaalie uwe na fikra pana katika kudadavua mambo kabla ya kuchkua hatua.
Aamiin.
Mi nina fikra sana wala sipungukiwi chochote, this is a secular state, Hivi kila dini ikitaka au kulazimisha utambulisho wake wa kidini katika taasisi za umma hatima yake ni nini?
 
Nchi za Ulaya zilifanya makosa mikubwa kuwakaribisha waislamu ambao nchini mwao kulikokuwa na vita wakadhani wanawasaidia kumbe hali Ile walikuwa wanaipenda Ile hali ndio maana Sasa hivi Ulaya sio tena nchi salama za kwenda
 
Mi nina fikra sana wala sipungukiwi chochote, this is a secular state, Hivi kila dini ikitaka au kulazimisha utambulisho wake wa kidini katika taasisi za umma hatima yake ni nini?
Kuna dini iliyotaka utambulisho wake hapa nchini usiyo ingilia shughuli za watu ikakataliwa?
Anyhow, hasidi hana sababu.
Uwe na siku njema.
 
Nadhani hujamuelewa mleta thread, Ye anamaanisha migogoro kati ya waislamu na dini/ madhehebu mengine sio vita kati ya nchi na nchi .Mfano vita au mgogoro kati ya Russia na Ukraine sio kati ya wakristu vs wakristu bali upanuzi wa kimaeneo na rasilimali the same applies to Congo Drc
Mfano India Wanaouliwa ni Waisilamu na sio Vice versa, Maynamar (Burma) wanaouliwa ni waisilamu Takriban waisilamu 40,000 wameuliwa Rohingya, Ukija Gaza wanaouliwa ni Waisilamu, hapo Middle East Isis na Al Qaeda kwa zaidi ya asilimia 90 wanaouliwa ni Waisilamu, Same kwa North Africa waisilamu wanauliwa kuliko dini Zote, Afganistan, Iraq etc wote ni waisilamu wanaouliwa.

Na kote huko Waisilamu ni native, wao walikua hapo miaka na miaka anakuja mgeni na kuwaua, kudistabilize ardhi zao na kufanya kusitawalike, je Ni waisilamu ama ni huyo mgeni ndio mwenye makosa?
 
Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
Wana flawed logic moja ambayo inawafanya watengeneze mazingira magumu kwao wenyewe

Attempt ya kutaka kuwabadili , taratibu za watu wengine ili wafuate zao kila wanapoenda ndipo ugomvi unapo anzia
 
As long as USAID ina sponsor na create extremists..... The problem is USA
 
Death to America x3
Death to infidels x3

Taqbiiiiiiiiiir
 
Achana na Gaza mkuu.

Hapa bongo mbona tunaishi vzr tunakulana dini tofauti....

Qatar ni dini gani??

UAE ni dini gani??

Congo wanaopigana ni waislam??

China Vs Taiwan ni waislam??

Ukraine Vs Russia ni waislam?

Vita ni beyond religious sentiments
Wapi umeona VITA mkuu? Iran kuna vita? Pakistan je? Mleta uzi kazungumzia habari za happiness, happiness haina uhusiano wowote na vita au amani kaka, kasome tena. Hapa Tanzania husikii waislamu wakilalamika? Wanamlaumu hadi Nyerere aliyeondoka madarakani miaka 40 iliopita, juzi master J katoa maoni yake kuhusi wana music wa Tanzania, jamaa 1 muislam kalalamika eti master J ana chuki na Waislamu. So guys mnalalamika everywhere in the world, hili sio siri. Zanzibar pia wana lalamika, Mombasa as well, kote huko majority ni wao
 
Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
DIni ni janga la dunia.
 
Haijalishi utamuelekeza vipi atakuja na hoja nyingine dhaifu kutetea dai lake kwasababu tayari anakitu anachokitarget. Mambo kama haya ndo bila kujua yanatengeneza mdogo mdogo matabaka katika nchi yetu na kututolea amani hii tuliyokuwa nayo tangu tumepata uhuru. Kuna watu hakuna wanachofikiria zaidi ya udini,
Kuna vitu vingi vinatokea beyond your comprehension ila kwasababu tu kichwani ulishajenga dini X ni tatizo basi kila kitakachotokea wewe utalaumu dini X.
Imbeciles !!!!
Ukweli lazima usemwe,nyie Muslims ni zaidi ya matatizo,kila siku huwa nawauliza rafiki zangu ambao ni waislam kwani huko kwenye miskiti yenu huwa mnaambiqaje kuhusu watu wa imani zingine.

Muslims lazima mfike mahali mjitambue,mistake kulazimisha kila mtu awe wa imani yako.Hata ma Ofisini mnatuletea shida mnabagua ambao sio Muslims
 
Achana na Gaza mkuu.

Hapa bongo mbona tunaishi vzr tunakulana dini tofauti....

Qatar ni dini gani??

UAE ni dini gani??

Congo wanaopigana ni waislam??

China Vs Taiwan ni waislam??

Ukraine Vs Russia ni waislam?

Vita ni beyond religious sentiments
Mwandishi ametoa mifano ya dini against dini na sio nchi against nchi
 
Nawaonea sana huruma wanaokaa karibu na misikiti kipindi hiki cha mfungo. Maana nakumbuka walikuwa wanarudia kwa muda wa masaa mawili maneno yale yale kwa lugha ya kiarabu ambayo weengi hawaielewi. Ambayo mimi na wengine wasiyoijua lugha hiyo wanaona ni kelele.
Hoja yako inashangaza sana, statistically wanaoongoza kwa kupiga hizo unazoita kelele ni Christians. Mimi nipo ubungo, mtaani kwetu kuna kanisa hapa weekend nzima kuanzia asubuhi mpka usiku ni kukesha na kuimba nyimbo za kuabudu na wanafungulia maspika unasema msikitini kitu ambacho hata saa mbili hakifiki kwa siku nzima?, ukipita njiani unakutana na watu na maspika yao wanahubiri injili tena sehemu zenye michanganyiko ya watu. Kikubwa tunajifunza kuishi kwa pamoja, hii nchi ni ya watanzania na tumeamua kuvumiliana.
 
Ukweli lazima usemwe,nyie Muslims ni zaidi ya matatizo,kila siku huwa nawauliza rafiki zangu ambao ni waislam kwani huko kwenye miskiti yenu huwa mnaambiqaje kuhusu watu wa imani zingine.

Muslims lazima mfike mahali mjitambue,mistake kulazimisha kila mtu awe wa imani yako.Hata ma Ofisini mnatuletea shida mnabagua ambao sio Muslims
Umekaa kiushabiki zaidi kuliko kutoa hoja!
Anyway, I am out.
Huwa sishiriki mijadala kama hii mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom