View attachment 682905
Binafsi najihisi mwenye kukosa bahati. Pesa sio tatizo sana kwangu wakati mwingine najiona mimi ndo mwenye matatizo!
Nimepitia mahusiano kadhaa lakini hayafikii malengo. Sijui Mungu amepanga nini juu yangu thus why niko single. Lakini mimi mwanaume bado napambana..
Je, kwanini wewe uko single?!